Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 624
- 2,774
Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii.
Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam kibao wanasema hakuna mawaidha ya swala ya asuhi?
Sina chuki na dini yoyote lakini kinachofanyika sio haki. Km serikali inahofia kuonekana vipi bas BAKWATA tunaomba mtupe muongozo.
Huku mtaani wanafanya wanachotaka.