Naomba kumjua aliyeghani pamoja na Tongolanga katika wimbo 'Baba na Mama'

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali!

Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo.

Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde?

R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima.

-kila munu avena kwao
-chilamba cha vene
-sanura
-baba na mama

Acha kabisa!!!
 
Wamakonde kuweni wa kwanza kunijibu basi, mbona mmekausha tu?!!
 
Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali!

Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo.

Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde?

R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima.

-kila munu avena kwao
-chilamba cha vene
-sanura
-baba na mama

Acha kabisa!!!
Sio chilamba chavene bali ni chilambo cha vene yaani dunia ni yawenyewe
 
Sasa wewe mnachihangu na mmakonde wapi na wapi hebu toa upumbavu wako
Wewe hivi unajua jina la mnachihangu ni lakimakonde? Huyo tongolanga kwao ni kijiji cha mchichira naifahamu vizuri familia yao kuanzia mama yake na karibu ndugu zake ambao wapo mchichira na mnyawa...mimi ni mmakonde na hilo mnachihangu ni jina la ukoo wetu
 
Sasa wewe mnachihangu na mmakonde wapi na wapi hebu toa upumbavu wako
Wamakonde asilimia 90% ni waislamu ukikuta wakristo kama alivyo mzee mkuchika,lawi sijaona na yule marehemu ambae alikuwa mkurugenzi wa kule korogwe sijui lushoto aliyekiitwa kwame daftari hao vijiji vyao ndivyo wamisionari walifikia kama nambuga,mnyambe na chihangu huko ndiko kulikuwa na wakristo ila kwasasa sio wengi tena waislamu wameshatawala tayari
 
Ndio maana umaskini haushi na maendeleo hamuna
Kula panya na nyoka ni mila zenu usikatae wewe unasema haramu lakini mila zenu ni hizo
 
Moja ya wamakonde niliokubali kazi zao za sanaa, ukijumlisha na MAPEMBE.

Huyu KONDE BOY anajua sanaa, ila kichwani ni mbili kasorobo.
Kabisa, kile ni kipaji haswaa

Konde boy kuvamia mji kunamzuzua....anakuwa mjinga mjjnga tu.
 
Wewe hivi unajua jina la mnachihangu ni lakimakonde? Huyo tongolanga kwao ni kijiji cha mchichira naifahamu vizuri familia yao kuanzia mama yake na karibu ndugu zake ambao wapo mchichira na mnyawa...mimi ni mmakonde na hilo mnachihangu ni jina la ukoo wetu
Aisee hebu, kama hautojali, naomba sana unieleze kidogo kuhusu yeye tafadhali..
-hali yake ya kimaisha ilivyokuwa (maana wakati anafariki niliwahi kusikia kuwa eti hakuwa na pesa ya kujiuguza na kwamba ililazimika arudishwe kutoka dar na kuja kuugulia kijijini kwa mama yake ambako hakuwahi kujenga hata nyumba). Hili lilinipa tabu masikioni mwangu na bado naendelea kuhangaika nalo
-alitokaje huko na kudanikiwa kuwika
-ana familia aliyoiacha?
-hali za kimaisha za ndugu zake.....wana vipaji pia? N.k

Nitaridhika sana nikiyapata angalau hayo machache ndugu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom