Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

Sega la asali

JF-Expert Member
Oct 5, 2023
1,159
2,669
Habari wakuu;

Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?

Zingatia haya unaposhauri;

1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m

2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake

3. Mwingiliano mzuri wa wageni na wenyeji.

4. Changamoto za miji hiyo

Nitashukuru kwa kufunguliwa macho katika biashara hiyo.
Asanteni sana
 
Back
Top Bottom