naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze wakuu fridge za hisense znakuaga na rangi 2

    naomba kuuliza wakuu nmenunua fridge hisense rd 20 lakn naona mbele kwenye milango kuna rangi ya silver na pembeni kuna rangi flani ya kqma kijivu flan je ndo yanakuag hvo au nimepgwa hapa wakuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Written interview question credit officer,m fuko wa self self MF

    hellow guys naomba meongozo written interview question credit officer,mfuko wa self self MF
  3. Jr Simeo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa. Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naomba Wakataa Kuoa na Kataa Ndoa Tuunde Kamati yetu, Baraza Kuu, Jopo la Baharia wote na Uanachama wa Kudumu

    Ndugu wanachama na masenior , magavana na maseneta wote tuliobarikiwa kujielewa kwamba katika ulimwengu wa kibepari kuoa na ndoa ni adui wa maendeleo ya kiuchumi. Karibu tufanye mjadala wa kuandaa agenda. Mwenyekiti Donedrake karibu kwa muongozo wako. Mimi ntakuwa mwenyekiti wa kamati ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa moyo wa dhati kabisa naomba radhi kwa kuikejeli na kuidharau Yanga

    Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo. Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
  8. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection katika kazi za ujenzi

    Wakuu habari Majukumu! Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua), Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki. Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ka

    Vigezo vya kusoma IT
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

    Hali ni tete, joto kali umeme hakuna, Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO 1. Taa 2. Feni tatu na AC 1, 3. Fridge 4. TV mbili 5. Computer mbili za desktop 6. Oven ila haitumik mara nyingi Yaweza ni cost kiasi gani?
  12. desmond3076

    JamiiForums Tanzania Msaada TV yangu aina ya singsung, nchi 25 inawaka kidogo inajizima

    Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini? Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina shida, nilimuita fundi ikamshinda, shida ni nini? Naomba msaada nafahamu wanajamvi mnaweza nipa...
  13. Donnyme

    JamiiForums Tanzania Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nimepita Instagram account ya Fiston Mayele kuna kitu sikielewi naomba nielimishwe

    Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo. Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja. Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa

    Mjuavyo tena, leo ndio siku ya wapendanao; msiponiona humu kuanzia saa nne na kuendelea, mjue nimeenda kujumuika na upande wangu wa kushoto(Hawa) katika kuburudika katika hii sikukuu ya wapambanaji. Nyie mtakaobaki humu, sijui mtakuwa bize na nini. Ila maisha ni haya haya, asiye na mwana...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
  17. philanthropistx1

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Aptitude Test TCB

    Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
  18. V

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ratiba za masoko ya mnada

    Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada kwa hapa Dar na utaratibu wa kuuza biashara mnadani Msaada wenu tafadhali napatikana Mtongani
  19. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tafadhali

    Nimesoma bachelor ya geography and environmental studies Ud, kisha nikataka kuhamia education lkn sikuwa na taarifa sahihi nikasoma masters baada ya kumaliza nikaambiwa inabidi nisome postgraduate mwaka mmoja ili niweze kufuzu kuwa mwalimu. So nikaanza postgraduate ila nilivosoma nikawa vitu...
  20. Jonsonjohn

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
Back
Top Bottom