namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. africatuni

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanikiwa katika biashara zenye mitaji midogo. Kufikia hadi 66% profit per day

    Habarini wana jamii forums, Hope everyone is excited as I am! ni matumaini yangu wote tu buheri wa afya ya mwili na akili. Kwanza kabisa Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema aliyetukutanisha siku ya leo, Kujumuika pamoja katika jukwaa hili kwa lengo la...
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Njoo hapa ujifunze namna ya kumtambua mganga feki na mganga konki

    Ukiona mganga yeyote anakufuata akutatulie changamoto yako haijalishi kakufuata pm au ana kwa ana basi jua huyo ni tapeli.waswahili wanasema mwenye shida humfuata mganga. Kama yeye kakufuata basi wewe ndio mganga. Mganga yeyote anayeweka bango kwenye nguzo ya umeme, kwenye magazeti, kwenye...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  4. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupika sotojo la mchemsho wa ndizi nyama

    Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za kupika sotojo / rosti la kitimoto, unaweza kula mpaka ujiume ulimi... Enjoy Leo nakuja na sotojo la...
  5. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuachana na mtu ambaye unamuota kuwa unazini nae ndotoni

    FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI 1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana?? 2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine?? 3️⃣ Je...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

    Kwema Wakuu! Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili. Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli...
  7. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  9. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho. Natanguliza shukrani
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa namna ya kwenda Israeli kuungana nao kuwapiga Hamas na wapalestina

    Taifa teule la Mungu limeingia kwenye operesheni maalumu ya kujiongezea mipaka kule Gaza baada ya kuchokozwa. Ni jukumu letu wana wa Yehova kwenda kuungana na uzao wetu mtakatifu kuichukua Gaza na baada ya hapo west bank. Kuna utaratibu uliowekwa?
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya Senegal kuizuia TikTok, Mtandao huo waenda kujitetea kwa kueleza sera zake na namna ya inavyozuia maudhui yasiyofaa

    TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
  12. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Mchengerwa wa namna ya TAMISEMI kudhibiti mapato ndani ya Halmashauri zote za mitaa nchini

    Moja kwa moja kwenye mada. Haya madini ntayokupa hapa hutapata popote maana weye natambua una "potential" kubwa huko mbele ya safari. Kama kawaida yangu jana baada ya kusikiliza ulokisema nikaingia kwenye dawati langu la uchambuzi hapa Kibaigwa na nikachambua ulokisema jana ili kupata mawili...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania TANESCO hawana namna ya kufanya umeme usikatike maeneo ya Hospitali?

    Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni. Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  16. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuongeza muda wa Maongezi (Vocha) mitandao mingine kutoka Tigopesa

    Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
  17. malisak

    JamiiForums Tanzania Niulize chakula chochote nikupe dondoo ya namna ya kuandaa!!

    Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

    Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'. Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  20. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kutoka Skrill wallet

    Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa siyo rafiki sana. . Naomba muongozo namna gani ninaweza kufanya withdrawal kwenye platforms zenye...
Back
Top Bottom