namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Bashe ndiyo namna ya kuwa waziri nyakati hizi

    Mawaziri wengine Bashe ndiye amewapa viwango vya juu ya jinsi ya kuwa waziri kwa miaka hii. Msishangae Ikulu inamtumia Bashe sana kuongea na waandishi wa habari. Mawaziri wengine jifunzeni kutoka kwa Bashe. Niseme tu wa pili ni waziri wa Afya na Mwigulu lakini kwa ndugu yangu Mwigulu hana...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  3. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kula embe dodo kistaarabu

    Embe dodo ni aina ya maembe ambayo ni matamu sana. Watu wengi hawajui namna ya kula tunda hili kwa raha na kistaarabu. Leo katika uzi huu nitaeleza namna ya kula embe hili. UTANGULIZI Embe dodo linaweza kuliwa likiwa limeiva au likiwa bichi. Na wakati mwingine embe dodo likiwa bado changa...
  4. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madomo zege njooni tupeane madini namna ya kutongoza mwanamke mgumu

    Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana. Baadhi ya wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza waume hawafai kukubalika kwani si kawaida. Well, jibu ni kuwa...
  5. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Utafiti wagundua namna ya kumfanya mzee awe kijana na kijana kuwa mzee

    Maabara ya Boston imeweza kumfanya panya aliyekuwa mzee haoni kuweza kuona, misuli yake kupata nguvu, ubongo wake kuweza kufanya kazi kwa haraka na mwili wake kurudi katika hali ya ujana huku ikimfanya panya kijana kuwa mzee. Utafiti huu umehitimisha kuwa, uzee ni mchakato unaoweza kurudishwa...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kujiunga na uwakala wa Betting (Betting Point)

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point). Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira kimechanganya sana, nikapata wazo la kuwa wakala (Agent) kabisa wa betting. Nitashukuru kwa msaada kutoka...
  7. The Boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

    Kuna mfanyabiashara mmoja nilikuwa natazama bidhaa zake Kwa watsap status ...mara akani block...aliamua Ku block wote ambao hatujawahi nunua hizo bidhaa... Nimewahi sikia inawezekana kutazama Watsap status bila kuonekana....na Vile vile inawezekana nikaendelea kutazama status hata kama kani...
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  9. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

    wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii. Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
  10. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kunasa Vitoto vya kishua msimu huu wa Sikukuu

    NAMNA YA KUNASA VITOTO VYA KISHUA MSIMU HUU WA SIKUKUU Anaandika, Robert Heriel Kheri ya Christmas Wakuu! Tuachane na mambo Serious kidogo, muda wa kupoza Injini ndio huu. Wale wazee wenzangu wa pisikali zamoto tujadili kidogo hapa namna ya kuopoa vile vitoto vyakishua. Tabia Mbaya! Tabia...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupika Coconut jum drop...

    Coconut jum drop... Mahitaji ~ 150g ~ 1/2 cup Icing sugar ~ Yai Moja ~ Vanilla / au ladha yeyote kijiko kimoja ~ 1 na 1/4 cup unga ( self rising flour) ~ raspberry jum ~ 1 cup Nazi kavu (na 1 cup kwaajili ya coat ya juu) Jinsi ya kufanya 👇 Katika bakuli saga siagi na sukari mpka...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga nyumba kimasihara

    Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine. Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama...
  15. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Vijana: Mtafute namna ya kujiajiri

    Kuajiriwa ni utumwa ulioboreshwa: Sikia 1: Biashara ya kuajiri watu na kuwalipa mshahara ni Mfumo ulioanza baada ya kukomesha biashara ya utumwa. Kumbuka biashara ya kuchukua mtu mwingine kuzalisha mali ni Mfumo unaolipa; Katibu uone. Biashara ya utumwa ilikuwa biashara yenye faida sana...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kichaa cha kulogewa huonesha kosa ulilofanya

    Ukipita pita huko mtaani angaza! 1. Vichaa wengi walioiba nguo wanapenda kukaa uchi huku wakiwa na furushi mgongoni. 2. Kichaa aliyeiba bodaboda hakosi ELEMET kichwani au koti/refrecta. 3. Kichaa aliyekula mke wa mtu muda wote mbele za watu akifika hukata mauno au kupampu kiuno mwanzo mwisho...
  17. Mynd177

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kukabiliana na ugumu wa maisha.

    Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu... Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie.. Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa.. Naona Msongo wa Mawazo...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Ongezeko kubwa la joto kiafya na namna ya kuyakabili

    Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na kimazingira. Katika msimu huu ambao baadhi ya maeneo mengi ya nchi hayapati mvua za kutosha, baadhi ya...
  19. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
  20. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu utapeli mitandaoni na namna ya kuwatambua

    Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa. Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli. Namna ya...
Back
Top Bottom