Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

hooligan01

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
662
523
Habari ndugu zangu,
Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho.
Natanguliza shukrani
 
N
Habari ndugu zangu,
Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho.
Natanguliza shukrani
Nenda ofisi ya NIDA kuomba fast track ya ID ukiwa na evidence ya kufanyiwa fast track.
 
Back
Top Bottom