Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana.
Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana.
Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni binafsi na wanajenga kwa kuzingatia hasa value for money. Jengo la Shule iliyojengwa Zanzibar huwezi fananisha na majengo tunayojenga huku Tanzania bara. Sie tunajenga bora liende as if kila siku tutakuwa tunajenga ila wao wanajenga kwa kuzingatia ubora na uzuri na kutumia maeneo yao madogo vizuri.
Kuanzia majengo ya hospitali, majengo ya shule na hata mahoteli yanayojengwa kwao vyote vinajengwa kwa ubora wa hali ya juu sana.
Hongereni sana Zanzibar. Endeleeni kuwafundisha Tanzania Bara namna ya kutumia akili vizuri na sio kila siku kujisifia kuwa na maliasili nyingi.
Naona wajinga wa bara wakija kujifunza kwenu siku si nyingi