Fahamu namna ya kuachana na mtu ambaye unamuota kuwa unazini nae ndotoni

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Jul 19, 2021
2,791
8,005
FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI

1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana??

2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine??

3️⃣ Je huyo mtu ulishiriki nae kwenye tendo la ndoa halafu baadae mkaja kuachana naye huwa una Muota Mara nyingi ndotoni??

KAMA NDIO
HUWA ANAKUJA KUFANYA NINI KWAKO KAMA MLISHAACHANA??

⚠️Tufuatane Sasa huku👇👇

🎤Unapokutana na mtu kimwili FAHAMU ya kuwa Mmeshatengeneza AGANO!

🎤Kwahiyo hata Kama mmeacha kimwili Ila FAHAMU ya kuwa Katika Ulimwengu wa roho bado ANA UHALALI WA KUKUFUATA!

🎤Inawezekana ulikuwa haujui au unajua Ila hukujua Madhara yake,Sasa Leo umejua , chukua hatua!

✓Kwahiyo Kama umeshapitia mazingira Kama hayo,na unapata mateso kwenye ndoto

FANYA MAOMBI YAFUATAYO

-Iondoe nafsi yako ndani yake, na ya kwake iondoe ndani yako-

✍️Dada zangu na kaka zangu, maisha yana siri kubwa mno.

✅Usione vitu vinagoma kwenda ukafikiri ni mapenzi ya Mungu si kweli!

✅Usione kila ukichumbiwa unaachwa ukafikiri Una laana si kweli huna laana Wala Nini Ila UNA NDOA TAYARI

✅Nani anataka kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari anamke wake au Mume wake na hawajaacha Kisheria??

✅Jaribu uone Kama mwenye mke au Mume hajakucharaza charaza ,Jaribu tu uone

✅Ndivyo ulivyo wewe ,mmeachana kimwili,Tena kwa Maneno mabaya au mazuri Ila Katika ulimwengu wa roho*HAMJAACHANA NG'OO*

Ndio Maana anakufuata ndotoni Ana UHALALI KABSA KISHERIA
MIILI YENU ILISHAKUWA NI MOJA

Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na *kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja
(1 Wakorintho 6:16)

Wakajiambatiza na Baal-Peori
(Zaburi 106:28)

✍️Wakati mwingine vitu vinagoma kwenda kwa sababu ya vifungo hivi tulivyo navyo wapendwa!

🎤Kibiblia kila unapo lala na mwanamke/mwanaume.

🎤Unakuwa umetengeneza agano ndani ya mwili wako!
1Kor 6:18

▪️Siri hii ni kubwa na imeharibu maisha ya vijana wengi.

▪️Siri hii Yusufu aliijua na ndio maana mke wa bosi alipo mtaka. Yusufu alikuwa radhi kukimbia.

▪️Alikuwa tayari hata kupoteza kibarua lakini si kulala na yule mwanamke!
Mwanzo 39:1-----

Yusufu akasema:
-Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkose Mungu? -
Mwanzo 39:9b

Sikia!!
Kuna wakati unaweza fikiri unatembea na Mungu, kumbe uko peke yako!

▪️Naomba nirudi kwenye point sasa. Naongea na wewe ambaye ulishawahi kushiriki tendo la ndoa na msichana /mvulana na mkaachana hamjaoana.

3️⃣Baadae mkaachana kwa sababu ambazo mliziona ni za msingi.

🎤Najua hapa watu wengi MNAMIILI MINGI IJAPOKUWA WEWE UNAONA NI MMOJA

Yaani wewe apo una mwili wa kila Aina

Nikuulize swali Hadi hapo ulipo una miili mingapi ya watu wengine??

⚠️Sasa Basi;

Ujumbe wangu kwako jioni ya leo ni huu. Fanya maombi ya kujiachanisha nafsi.

Jitahidi kukumbuka na Roho Mtakatifu *atakukumbusha kila mwanaume / mwanamke uliye wahi kulala naye,najua *moyoni mwako hapo Sasa hivi umeshawakumbuka*

Ndio Maana kila Mara unamuota tu yeye au Unaota unazini naye!

✅Wewe hujawahi kufikiri huyu mtu Nimeachana naye siku nyingi lakini kila siku namuota yeye tu,Kuna Nini??Ina maanisha yeye amekua so special Sana kwako kiasi hicho??

✅Kwanini wewe huna vitu vingene vya Kuota??

✅Hicho Ni kifungo kwako!
Sasa Basi

Vunja Agano Hilo kwa kujiachanishe nafsi yako na yake

Katika maombi yako tamka maneno haya. 👇🏾

NAICHOMOA NAFSI YANGU NDANI YAKE, mtaje jina.... NAICHOMOA NAFSI YAKE NDANI YANGU.

✅NAVUNJA HILI AGANO NA FULANI KWA DAMU YA YESU

✅NAVUNJA MUUNGANIKO WA MWILI WANGU NA WAKE KWA KUTUMIA DAMU YA YESU!

✅NA UACHANISHA MWILI WAKE NA WANGU KWA KUTUMIA DAMU YA YESU!

FANYA HAYA MAOMBI KWA KUMAANISHA,
NA UTAUONA MKONO MWEMA WA MUNGU UKIKUTOA HAPO KWENYE HICHO KIFUNGO!

NA NAKUHAKIKISHIA BAADA YA MAOMBI HAYO HUTAMUOTA TENA

Ubarikiwe Sana Sana!

SHALOM 🙏🙏🙏

ONLY CHRIST CAN ACCOMPLISH IT WITHIN US!
AMEN.
 
FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI

Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana??

Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine??

Je huyo mtu ulishiriki nae kwenye tendo la ndoa halafu baadae mkaja kuachana naye huwa una Muota Mara nyingi ndotoni??

KAMA NDIO
HUWA ANAKUJA KUFANYA NINI KWAKO KAMA MLISHAACHANA??

Tufuatane Sasa huku

Unapokutana na mtu kimwili FAHAMU ya kuwa Mmeshatengeneza AGANO!

Kwahiyo hata Kama mmeacha kimwili Ila FAHAMU ya kuwa Katika Ulimwengu wa roho bado ANA UHALALI WA KUKUFUATA!

Inawezekana ulikuwa haujui au unajua Ila hukujua Madhara yake,Sasa Leo umejua , chukua hatua!

✓Kwahiyo Kama umeshapitia mazingira Kama hayo,na unapata mateso kwenye ndoto

FANYA MAOMBI YAFUATAYO

-Iondoe nafsi yako ndani yake, na ya kwake iondoe ndani yako-

Dada zangu na kaka zangu, maisha yana siri kubwa mno.

Usione vitu vinagoma kwenda ukafikiri ni mapenzi ya Mungu si kweli!

Usione kila ukichumbiwa unaachwa ukafikiri Una laana si kweli huna laana Wala Nini Ila UNA NDOA TAYARI

Nani anataka kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari anamke wake au Mume wake na hawajaacha Kisheria??

Jaribu uone Kama mwenye mke au Mume hajakucharaza charaza ,Jaribu tu uone

Ndivyo ulivyo wewe ,mmeachana kimwili,Tena kwa Maneno mabaya au mazuri Ila Katika ulimwengu wa roho*HAMJAACHANA NG'OO*

Ndio Maana anakufuata ndotoni Ana UHALALI KABSA KISHERIA
MIILI YENU ILISHAKUWA NI MOJA

Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na *kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema
, Wale wawili watakuwa mwili mmoja
(1 Wakorintho 6:16)

Wakajiambatiza na Baal-Peori
(Zaburi 106:28)

Wakati mwingine vitu vinagoma kwenda kwa sababu ya vifungo hivi tulivyo navyo wapendwa!

Kibiblia kila unapo lala na mwanamke/mwanaume.

Unakuwa umetengeneza agano ndani ya mwili wako!
1Kor 6:18

Siri hii ni kubwa na imeharibu maisha ya vijana wengi.

Siri hii Yusufu aliijua na ndio maana mke wa bosi alipo mtaka. Yusufu alikuwa radhi kukimbia.

Alikuwa tayari hata kupoteza kibarua lakini si kulala na yule mwanamke!
Mwanzo 39:1-----

Yusufu akasema:
-Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkose Mungu? -
Mwanzo 39:9b

Sikia!!
Kuna wakati unaweza fikiri unatembea na Mungu, kumbe uko peke yako!

Naomba nirudi kwenye point sasa. Naongea na wewe ambaye ulishawahi kushiriki tendo la ndoa na msichana /mvulana na mkaachana hamjaoana.

Baadae mkaachana kwa sababu ambazo mliziona ni za msingi.

Najua hapa watu wengi MNAMIILI MINGI IJAPOKUWA WEWE UNAONA NI MMOJA

Yaani wewe apo una mwili wa kila Aina

Nikuulize swali Hadi hapo ulipo una miili mingapi ya watu wengine
??

Sasa Basi;

Ujumbe wangu kwako jioni ya leo ni huu. Fanya maombi ya kujiachanisha nafsi.

Jitahidi kukumbuka na Roho Mtakatifu atakukumbusha kila mwanaume / mwanamke uliye wahi kulala naye,najua *moyoni mwako hapo Sasa hivi umeshawakumbuka

Ndio Maana kila Mara unamuota tu yeye au Unaota unazini naye!

Wewe hujawahi kufikiri huyu mtu Nimeachana naye siku nyingi lakini kila siku namuota yeye tu,Kuna Nini??Ina maanisha yeye amekua so special Sana kwako kiasi hicho??

Kwanini wewe huna vitu vingene vya Kuota??

Hicho Ni kifungo kwako!
Sasa Basi

Vunja Agano Hilo kwa kujiachanishe nafsi yako na yake

Katika maombi yako tamka maneno haya.

NAICHOMOA NAFSI YANGU NDANI YAKE, mtaje jina.... NAICHOMOA NAFSI YAKE NDANI YANGU.

NAVUNJA HILI AGANO NA FULANI KWA DAMU YA YESU

NAVUNJA MUUNGANIKO WA MWILI WANGU NA WAKE KWA KUTUMIA DAMU YA YESU!

NA UACHANISHA MWILI WAKE NA WANGU KWA KUTUMIA DAMU YA YESU!

FANYA HAYA MAOMBI KWA KUMAANISHA,
NA UTAUONA MKONO MWEMA WA MUNGU UKIKUTOA HAPO KWENYE HICHO KIFUNGO!

NA NAKUHAKIKISHIA BAADA YA MAOMBI HAYO HUTAMUOTA TENA

Ubarikiwe Sana Sana!

SHALOM

ONLY CHRIST CAN ACCOMPLISH IT WITHIN US!
AMEN.
YOHANA 9:31.

"Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi; bali mtu akiwa ni mcha Mungu, na kuyafanya mapenzi yake, humsikia huyo."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI

1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana??

2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine??

3️⃣ Je huyo mtu ulishiriki nae kwenye tendo la ndoa halafu baadae mkaja kuachana naye huwa una Muota Mara nyingi ndotoni??

KAMA NDIO
HUWA ANAKUJA KUFANYA NINI KWAKO KAMA MLISHAACHANA??

⚠️Tufuatane Sasa huku👇👇

🎤Unapokutana na mtu kimwili FAHAMU ya kuwa Mmeshatengeneza AGANO!

🎤Kwahiyo hata Kama mmeacha kimwili Ila FAHAMU ya kuwa Katika Ulimwengu wa roho bado ANA UHALALI WA KUKUFUATA!

🎤Inawezekana ulikuwa haujui au unajua Ila hukujua Madhara yake,Sasa Leo umejua , chukua hatua!

✓Kwahiyo Kama umeshapitia mazingira Kama hayo,na unapata mateso kwenye ndoto

FANYA MAOMBI YAFUATAYO

-Iondoe nafsi yako ndani yake, na ya kwake iondoe ndani yako-

✍️Dada zangu na kaka zangu, maisha yana siri kubwa mno.

✅Usione vitu vinagoma kwenda ukafikiri ni mapenzi ya Mungu si kweli!

✅Usione kila ukichumbiwa unaachwa ukafikiri Una laana si kweli huna laana Wala Nini Ila UNA NDOA TAYARI

✅Nani anataka kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari anamke wake au Mume wake na hawajaacha Kisheria??

✅Jaribu uone Kama mwenye mke au Mume hajakucharaza charaza ,Jaribu tu uone

✅Ndivyo ulivyo wewe ,mmeachana kimwili,Tena kwa Maneno mabaya au mazuri Ila Katika ulimwengu wa roho*HAMJAACHANA NG'OO*

Ndio Maana anakufuata ndotoni Ana UHALALI KABSA KISHERIA
MIILI YENU ILISHAKUWA NI MOJA

Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na *kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema
, Wale wawili watakuwa mwili mmoja
(1 Wakorintho 6:16)

Wakajiambatiza na Baal-Peori
(Zaburi 106:28)

✍️Wakati mwingine vitu vinagoma kwenda kwa sababu ya vifungo hivi tulivyo navyo wapendwa!

🎤Kibiblia kila unapo lala na mwanamke/mwanaume.

🎤Unakuwa umetengeneza agano ndani ya mwili wako!
1Kor 6:18

▪️Siri hii ni kubwa na imeharibu maisha ya vijana wengi.

▪️Siri hii Yusufu aliijua na ndio maana mke wa bosi alipo mtaka. Yusufu alikuwa radhi kukimbia.

▪️Alikuwa tayari hata kupoteza kibarua lakini si kulala na yule mwanamke!
Mwanzo 39:1-----

Yusufu akasema:
-Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkose Mungu? -
Mwanzo 39:9b

Sikia!!
Kuna wakati unaweza fikiri unatembea na Mungu, kumbe uko peke yako!

▪️Naomba nirudi kwenye point sasa. Naongea na wewe ambaye ulishawahi kushiriki tendo la ndoa na msichana /mvulana na mkaachana hamjaoana.

3️⃣Baadae mkaachana kwa sababu ambazo mliziona ni za msingi.

🎤Najua hapa watu wengi MNAMIILI MINGI IJAPOKUWA WEWE UNAONA NI MMOJA

Yaani wewe apo una mwili wa kila Aina

Nikuulize swali Hadi hapo ulipo una miili mingapi ya watu wengine
??

⚠️Sasa Basi;

Ujumbe wangu kwako jioni ya leo ni huu. Fanya maombi ya kujiachanisha nafsi.

Jitahidi kukumbuka na Roho Mtakatifu atakukumbusha kila mwanaume / mwanamke uliye wahi kulala naye,najua *moyoni mwako hapo Sasa hivi umeshawakumbuka

Ndio Maana kila Mara unamuota tu yeye au Unaota unazini naye!

✅Wewe hujawahi kufikiri huyu mtu Nimeachana naye siku nyingi lakini kila siku namuota yeye tu,Kuna Nini??Ina maanisha yeye amekua so special Sana kwako kiasi hicho??

✅Kwanini wewe huna vitu vingene vya Kuota??

✅Hicho Ni kifungo kwako!
Sasa Basi

Vunja Agano Hilo kwa kujiachanishe nafsi yako na yake

Katika maombi yako tamka maneno haya. 👇🏾

NAICHOMOA NAFSI YANGU NDANI YAKE, mtaje jina.... NAICHOMOA NAFSI YAKE NDANI YANGU.

✅NAVUNJA HILI AGANO NA FULANI KWA DAMU YA YESU

✅NAVUNJA MUUNGANIKO WA MWILI WANGU NA WAKE KWA KUTUMIA DAMU YA YESU!

✅NA UACHANISHA MWILI WAKE NA WANGU KWA KUTUMIA DAMU YA YESU!

FANYA HAYA MAOMBI KWA KUMAANISHA,
NA UTAUONA MKONO MWEMA WA MUNGU UKIKUTOA HAPO KWENYE HICHO KIFUNGO!

NA NAKUHAKIKISHIA BAADA YA MAOMBI HAYO HUTAMUOTA TENA

Ubarikiwe Sana Sana!

SHALOM 🙏🙏🙏

ONLY CHRIST CAN ACCOMPLISH IT WITHIN US!
AMEN.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri,nami nimebarkiwa sana katika Jina la Yesu...
 
sijawahi kuota nikizini na mwanamke toka balehe ilipofika kikomo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom