Namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazotumia magaidi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,901
Kwema Wakuu!

Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili.

Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli na hata taifa lolote lile lisingekuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya kutumia ugaidi ili kutokomeza magaidi.
"Tumia ugaidi kutokomeza magaidi"

Gaidi akiua kigaidi Watu wako 10 basi wewe fanya hivyo mara kumi yake kwake kwa kutumia mbinu ileile.

Ambacho Hamas wangekifanya ambacho hata mimi ningekiunga mkono ni kutangaza vita na Waisrael, vita Rasmi, na kuwataka Raia wa Israel waondoke ili Hamas waweze kukabiliana na jeshi la Israel. Lakini sio kufanya ugaidi kisha kujificha kwenye makazi ya Watu.

Israel inaweza kuwa na matatizo Makubwa, ambayo Watu wengi hatuyaungi mkono lakini naweza kukubaliana na mbinu wanazotumia katika kudili na maadui zao.

Gaidi wakitandika Raia wako, wewe unaenda kutandika Raia na ndugu zao. Hiyo ni mbinu ambayo waisrael wanaijua na kuzitumia katika falsafa ya jino kwa jino, jicho kwa jicho, uhai kwa uhai. Kama Legend wao aitwaye Musa alivyowaagiza katika Torati;

Kumbukumbu 19:21 NMM​

Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
 
Uzi wako mwingine bora, chukua like.

Hamas waliua raia, walidhamiria na hawajutii; dawa yao nao ni kuuliwa wao na wapendwa wao.

Waisraeli waliokufa ni zaidi 1,400 hivyo Israeli kwa hesabu ya 1,400 x 10 basi waizraeli wanatakiwa kuwapoteza Hamas na wapendwa wao si chini ya 14,000.
 
Na hivyo ndivyo Netanyau atakachokifanya. Kwa sasa ni 7000
 
Kwema Wakuu!

Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili.

Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli na hata taifa lolote lile lisingekuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya kutumia ugaidi ili kutokomeza magaidi.
"Tumia ugaidi kutokomeza magaidi"

Gaidi akiua kigaidi Watu wako 10 basi wewe fanya hivyo mara kumi yake kwake kwa kutumia mbinu ileile.

Ambacho Hamas wangekifanya ambacho hata mimi ningekiunga mkono ni kutangaza vita na Waisrael, vita Rasmi, na kuwataka Raia wa Israel waondoke ili Hamas waweze kukabiliana na jeshi la Israel. Lakini sio kufanya ugaidi kisha kujificha kwenye makazi ya Watu.

Israel inaweza kuwa na matatizo Makubwa, ambayo Watu wengi hatuyaungi mkono lakini naweza kukubaliana na mbinu wanazotumia katika kudili na maadui zao.

Gaidi wakitandika Raia wako, wewe unaenda kutandika Raia na ndugu zao. Hiyo ni mbinu ambayo waisrael wanaijua na kuzitumia katika falsafa ya jino kwa jino, jicho kwa jicho, uhai kwa uhai. Kama Legend wao aitwaye Musa alivyowaagiza katika Torati;

Kumbukumbu 19:21 NMM​

Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.

IMG_4087.jpg
 
View attachment 2795739
 
Sikuungi mkono watoto wananyanyasika Sana Gaza pale kisa tu makosa ya baba zao ama wajomba zao
 
Na hili ndilo kosa ambalo Hamas walilifanya, wao walitakiwa kupambana na jeshi tu la wayahudi feki wa kizungu nasio raia wa kawaida wasiokua na hatia.

Na hivi ndivyo Hezbollah amekua akiogopwa na wayahudi feki wa kizungu ni kwasababu huwa anawatarget wanajeshi wa taifa feki la kiyahudi na kuleta madhara makubwa sana kwao.
 
Kumbukumbu 19:21 NMM​

Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.

Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
Kulikuwa na umuhimu gani wa kuweka haya maneno ?
 
Na hili ndilo kosa ambalo Hamas walilifanya, wao walitakiwa kupambana na jeshi tu la wayahudi feki wa kizungu nasio raia wa kawaida wasiokua na hatia.

Na hivi ndivyo Hezbollah amekua akiogopwa na wayahudi feki wa kizungu ni kwasababu huwa anawatarget wanajeshi wa taifa feki la kiyahudi na kuleta madhara makubwa sana kwao.
Scenario ya Lebanon na Gaza zina fanana ?
 
Nakuuliza tena scenario ya Lebanon na Gaza zina fanana ?

Nisingesoma nisingeuliza.
Huwe unaelewa nasio kukurupuka nimesemea mfano wa kundi Hezbollah linavyopambana na jeshi la taifa feki la kiyahudi tofauti na Hamas wanaoteka na kuwadhuru raia wasio na hatia.
 
Acha kujitoa akili masuala ya taifa feki la kiyahudi mimi sijakuuliza.

Swali langu linasema hivi, Scenario ya Lebanon na Gaza zina fanana ?
 
Back
Top Bottom