Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

Zinn

JF-Expert Member
Dec 29, 2022
1,221
1,423
Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo:

1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba?

2) Inawezekana kipimo cha ultrasound kilichopimwa hospitali ya wilaya kizidishe umri wa mimba kwa wiki tatu na nusu juu ya muda ambao umepigwa mahesabu kutoka kwenye siku za hedhi? Maana nasikia ultrasound ipo sahihi hasa kama mimba haijafika miezi mitatu.

3) Pia inawezekana mimba kuonekana/kuhisi tumbo la uzazi limetuna chini ya kitovu (endapo ukigusa tumbo) kabla mimba haijafika miezi mitatu (wiki 12)?

4) Mwisho inawezekana mimba iliyotungwa ina siku moja kumletea mwanamke maumivu ya kiuno?

Ahsanteni.
 
Condom ikitumiwa kwa usahihi na isipoharibika wakati wa minjunjano, haiwezi sababisha mwanamke kupata ujauzito hata kama mwanamke ndio yupo kwenye climax ya kupata ujauzito...

Hapa inategemea na uwezo wa technician wa ultrasound kwenye kusoma umri wa kijusi...

Kuzidisha umri wa ujauzito kwa wiki tatu hiyo ni error kubwa mzee baba...

Sio kweli kwamba Ultrasound ipo sahihi wakati fulani, jua ya kwamba kipimo cha ultra sound huweza kuanza kuchukuliwa kuanzia wiki ya 4 na kuendelea...

Kipimo kinachochukuliwa wakati wa trimester ya kwanza (Dating scan) mara nyingi hutumika kutaka kujua, uhai wa kijusi, umri wa kijusi, kujua kama kijusi kinakua, position ya kijusi

Inawezekana...

4) Mwisho inawezekana mimba iliyotungwa ina siku moja kumletea mwanamke maumivu ya kiuno?

Umejuaje kuwa ujauzito umetungwa na una siku moja tu?
 
Kweli hapa unahitaji ushauri kaka.? Kweli kaka?

Unataka uone nini ndio ujue unachezewa chukundu cheupe?

Yaani mimba ya miezi 2 uligusa chini ya kitovu unaisikia? Bro tafadhali bana.

Yaani ultra sound ikosee gestation kwa wiki 3 plus? Dah
 
Lea mtoto huyo, huenda akala raisi hapo baada

Sorry, wewe ni mtaalamu wa ultrasound?

Alipata maumivu ya kiuno akidai ni dalili ya mimba, hiyo ni siku monybaada ya kudinyana, sasa kama mimba ilitungwa ktk mdinyano huo, mimba yenye siku moja inaweza kusababisha maumivu ya kiuno?

Tukisema kwamba wakati wa mdinyano huo tayari alikuwa na mimba ya mtu mwingine iliyomletea maumivu ya kiuno tutakuwa tumekosea?
 
Kweli hapa unahitaji ushauri kaka.? Kweli kaka?

Unataka uone nini ndio ujue unachezewa chukundu cheupe?

Yaani mimba ya miezi 2 uligusa chini ya kitovu unaisikia? Bro tafadhali bana.

Yaani ultra sound ikosee gestation kwa wiki 3 plus? Dah
Tatizo ukitizama huyo binti anavyolia na kung'ang'ania kuwa hajalala na mtu mwingine tofauti, unaweza nawewe ukatoa chozi, pia kawapa namba ndugu zake na wameanza kusumbua, wanadai watumiwe hela za matumizi na vitisho kibao.
 
Sorry, wewe ni mtaalamu wa ultrasound?

Alipata maumivu ya kiuno akidai ni dalili ya mimba, hiyo ni siku monybaada ya kudinyana, sasa kama mimba ilitungwa ktk mdinyano huo, mimba yenye siku moja inaweza kusababisha maumivu ya kiuno?

Tukisema kwamba wakati wa mdinyano huo tayari alikuwa na mimba ya mtu mwingine iliyomletea maumivu ya kiuno tutakuwa tumekosea?

Sio mtaalamu wa Ultrasound ila nina ujuzi wa kujua ni nini huwa kinafanyika...

Mwanamke hawezi kuwa na maumivu uliyotaja mapema hivyo, hayo labda ni maumivu ya kukunjana kitandani...

Naona kama unataka kukimbia mimba, una uhakika hukuchomeka uume wako kwenye uke wa huyo mwanamke bila kinga hata mara moja especially baada ya kupiga bao?
 
Nina uhakika 100%, siwezagi kupiga kavu mpaka tupime magonjwa, najali sana afya yangu.
 
Back
Top Bottom