Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza animation ya Automatic Power Factor Correction ya kiwanda kidogo(Small Factory)

Spiracle z

Member
Jun 29, 2020
14
13
Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo .
Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
 
Umejaribu kumtumia mwalimu yuuutubu kabla ya hawa walimu wasioonekana.

Nenda kwa channel ya blender kuna tutorial za kutosha
 
Kuja ufanikishe hilo jambo utakua umenyooka mkuu, labda kama una mpango wa kujifunza animations from scratch ila tofauti na ikiwa lengo ni kwa ajili ya showcase ya project, tafuta mtu umajiri akufanyie hayo.
 
nilikuwa nataka kujifunza from scratch nakujaje kaka
 
kama ndo una anza nakushauri uanze na Adobe After Effects ili upate basics za Motion Graphics at the same time jifunze Modelling kwenye Cinema 4D, then sasa unaweza approach industry standard Animation software kama kina Maya na wengine.
Safari njema mkuu.
Ila jitahidi upate PC yenye GPU itakusaidia sana na kukupunguzia stress zisizo za lazima.
 
Nashukuru sana kwa msaada wako mkuu..uishi sana
 
Back
Top Bottom