Namna gani ya ku-edit scanned documents?

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
315
413
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa namna ya kuedit documents ambazo zimeandaliwa (scanned) kwa kutumia apps cama camscanner
 
Habari zenu wakuu,naomba msaada wa namna ya kuedit documents ambazo zimeandaliwa (scanned) kwa kutumia apps cama camscanner
Kwa cam scanner kuna iyo optionya kuconrvent pdf kwenda kwenye words ili uedit ila nadhani ni ya kulipia, kwa msaada nenda stationary ya karibu watakusaidia.
 
INgia google andika convert pdf to word ......click link yoyote bahati nzuri nyingi bure

Then upload document ukimaliza convert io word doc na udownlod .....then edit vizuri ukimaliza

Save as pdf file inakuwa ✔✔✔
 
Kama ipo kwenye format ya IMG, au PDF convet kwenye kwenye DOC, edit ukimaliza convert/save kutoka Ms word kwenda pdf print etc

Kina millions za site online powered na AI zina uwezo kwa ku convert
 
Sijajua unataka ku edit vipi lakin kwa hii app ina tools nyingi naamini itakusaidia..

Unaweza kuitumia online search google i love PDF au i download playstore/Appstore andika i love PDF
IMG_2753.jpg
 
Waliochangia wote hawajui nini wanaongelea, document iliyo tengenezwa na Cam Scanner huwezi kuwa edited wala kuwa kubadilishwa kwenda word kwasababu Cam Scanner au Scanner yoyote ni inapiga picha kitu ambacho tiali kipo Printed mfano Cheti/Nida hata barua mfano umeandika barua kwa word ume print then una scann na cam scanner hio huwezi rejesha kwa word tena.

PDF ambazo zinaweza kubadikishwa kuwa word na kuwa edited tena ni zilizotengenezwa kwa option ya change feom word to PDF sio kwa njia ya Scanninv.
 
Hujui ulichokiongea mkuu.
 
Back
Top Bottom