msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada

    Naweza pata laptop nzuri kwajili ya kuendeshea websites/blogg kwa bajet ya 500000/=?
  2. Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  3. M

    Msaada wa mawazo kuhusu ICT project for final year

    Wakubwa zangu i hope mko powa, Nilikuwa nawaomba mnisaidie title ya project ya ICT itakayo husisha (html,CSS,PHP na MYSQL)
  4. Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
  5. Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  6. Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  7. Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za nje ni wa kweli?

    Habari, Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za njee ya nchi wako really au wanafanya kupata traffic/watu katika sites zao? Na kama kuna anae jua website zinazo weka matangazo ya kaz za njee ya nchi zenye Reputation nzuri naomba please.
  8. Nahitaji sehemu wanayouza nguo za ndani kwa bei ya jumla Kanda ya Ziwa

    Nahitaji kuanzisha duka la nguo za ndani Nahitaji msaada sehemu wanapouza jumla Mwanza, Kahama na Kanda ya Ziwa kiujumla
  9. K

    Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

    WanajamiiForums naomba kuuliza Nahitaji msaada pia Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021 Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne...
  10. Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  11. M

    Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Wadau, Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo? Asanteni.
  12. P

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
  13. P

    Msaada wa kukata rukaa Bodi ya Mikopo 2023

    Naomba kuuliza je page ya kusaini ya kuapeal inatakiwa kusainiwa na muhusika bila ushibitisho wa mamlaka flani ka mahakama, mwenyekiti au mtendaji. Msaada tafadhali
  14. Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  15. Msaada mtoto ameweka BBE machoni

    Naomba msaada huduma ya kwanza ni ipi. Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ameweka BBE machoni pale, sasa kabla hajapelekwa hospital amesafishwa kwa maji macho yake. Je, wana JF kuna kitu Kingine cha kufanya? Msaada tafadhali
  16. Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  17. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  18. Wataalam msaada please

    Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ? Maana kisukari kishapanda hapa
  19. A

    DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  20. Jela miaka 20 kwa kukutwa na bangi

    #HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya bangi nyumbani kwake. Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 121/2023, imetolewa na Hakimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…