msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
  2. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
  3. el_magnefico

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya tararibu za kufuata na hatua zakufunga ndoa na raia wa kigeni

    Habari wanajamii, kuna rafiki yangu (raia wa Tanzania anataka kufunga ndoa na mpenzi wake ni raia wa Marekani anayeishi nchini kwa kufuata taratibu zote . Hivyo nahitaji kufahamu ni taratibu zipi afuate ili aweze kufunga naye ndoa ya kiserikali.
  4. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za nje ni wa kweli?

    Habari, Naomba kujua hivi zile websites ambazo zina weka matangazo ya kazi hasa za njee ya nchi wako really au wanafanya kupata traffic/watu katika sites zao? Na kama kuna anae jua website zinazo weka matangazo ya kaz za njee ya nchi zenye Reputation nzuri naomba please.
  5. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Nahitaji sehemu wanayouza nguo za ndani kwa bei ya jumla Kanda ya Ziwa

    Nahitaji kuanzisha duka la nguo za ndani Nahitaji msaada sehemu wanapouza jumla Mwanza, Kahama na Kanda ya Ziwa kiujumla
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya Biotechnology and Lab Science. Nataka mwakani nijaribu kuapply Clinical Medicine. Je, watanikubalia?

    WanajamiiForums naomba kuuliza Nahitaji msaada pia Nina degree ya Biotechnology and Lab Science, nimesomea SUA nimegraduate tokea 2021 Nipo mtaan kazi sijapata lakini ndoto yangu ni kuwa Daktari. Nataka mwakani nijaribu kuapply CLINICAL MEDICINE. Je, watanikubalia maana kidato cha nne...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutengeneza Audio Cover kwenye PC

    Msaada wakuu. Nina wav. kadhaa nahitaji kuzitengenezea Cover Audio kwa lengo la kuzipakia YouTube baada ya kukamilisha matayarisho Nimetoka kununua PC, sielewi chochote na sijawahi fanya hii kitu. Naombeni maujuzi wakuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Wadau, Naomba muongozo, nataka kwenda Meatu Dc, mkoa wa Simiyu kuangalia fursa ya mifugo. Mabasi gani nipande kutokea Dar to Meatu na ni masaa mangapi yanachukua? Pia kijiji gani kuna mnada mkubwa wa mifugo? Asanteni.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kubadiki castom domain name ya bloger

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kukata rukaa Bodi ya Mikopo 2023

    Naomba kuuliza je page ya kusaini ya kuapeal inatakiwa kusainiwa na muhusika bila ushibitisho wa mamlaka flani ka mahakama, mwenyekiti au mtendaji. Msaada tafadhali
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  12. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto ameweka BBE machoni

    Naomba msaada huduma ya kwanza ni ipi. Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ameweka BBE machoni pale, sasa kabla hajapelekwa hospital amesafishwa kwa maji macho yake. Je, wana JF kuna kitu Kingine cha kufanya? Msaada tafadhali
  13. Moronight walker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  15. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wataalam msaada please

    Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ? Maana kisukari kishapanda hapa
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  17. 101 East

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 20 kwa kukutwa na bangi

    #HABARI Mkazi wa Kisiwa cha Maisome wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Maisala Ramadhani (25) ameangua kilio mahakamani baada ya kuhukumiwa jela miaka 20 baada kukiri kosa la kukutwa na dawa za kulenya aina ya bangi nyumbani kwake. Hukumu hiyo ya kesi ya jinai namba 121/2023, imetolewa na Hakimu...
  18. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4. Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km. Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu. Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Akisoma HGL anaweza soma Bachelor ya IT?

    Wakuu msaada wenu unahitajika. Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri. Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT. Sasa anachohitaji kujua ni je ni combi gani anatakiwa lazima asome form 5 & 6 ili iwe rahisi kwa yeye kuapali bachelor ya...
  20. Eternally to be

    JamiiForums Tanzania Warranty ya simu refubrished ina msaada kwa mnunuzi endapo muuza simu akikataa kuitimiza pale simu itakapohitaji warranty?

    Habarini wakuu wa tech Tanzania, Kulingana na nilivyouliza swali hapo juu kwa yule mwenye uzoefu aliyekwisha wahi kukutana na kadhia kama hiyo.
Back
Top Bottom