msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta mchanga wa plasta

    Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba. Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali. Nipo jijini Dar es Salaam.
  2. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa wa mbuzi kuzunguka. Huu ni ugonjwa gani?

    Habarini! Mbuzi wangu wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa kuzunguka. Yaani huu ugonjwa mbuzi akiugua anashindwa hata kutembea (anabaki kuzunguka tu hapo hapo) na unaonekana huwa unaathiri upande fulani wa mbuzi. Kwa mfano, akiathirika sana kiasi cha kushindwa kusimama, yaani akishalalia tu...
  3. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa hili kwa Wataalamu wa Madish

    Nina receiver mediacom imeandikwa DiSEqC 1.2 MPEG2 DVB digital satellite receiver na ungo mdogo wa startimes. Ninaweza kupata channel zozote hapo hasa za nyumbani Tanzania?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kisheria kuhusu suala hili la upimaji wa ardhi

    Mimi ni mhamiaji hapa Mbeya! Nimepapenda na ningependa kujenga japo kajumba kakuishi ila tatizo ni viwanja vya kupimwa bado ni tatizo! Ninafikiria kununua shamba halafu baada ya kukamilisha ununuzi niwafuate ardhi ili waje wanipimie! Ninaomba ushauri wa kisheria kuhusu jambo hili. Je...
  5. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kibinadamu mjini Geita

    Wakuu nina safari ya kwenda Geita hii weekend, naomba msaada wa kibinadamu nikiwa huko kwa wiki 2. Wale wenyeji wa Geita, naomba kuelekezwa maeneo naweza kupata huduma takatifu au maeneo ambayo watoa huduma wanapatikana kwa wingi maana sina hakika kama tinder au tagged zinafanya kazi huko...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili

    Nduguzanguni Me nimetokea kumpenda demu mmoja ambaye ana rafiki yake wa kike anaitwa nasra.wote wawili ni shombe shombe tatizo linakuja moja nasra ana nipenda Sana me simpendi ila ninampenda rafiki yake na ili kupata number yake au kujua anapokaa Sina other way zaidi ya kupitia nasra nimejaribu...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa sheria ya mikataba katika kesi yangu hii hapa

    Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana na mimi nikaandikishiana naye kwamba anipe chumba kikiwa kimekamilika kimatengenezo. Mimi nikaanza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Vocational Skills new syllabus class V

    Naomba msaada wa Vocational Skills new syllabus class VI au scheme of work class VI. Please mwenye nayo naomba msaada wa kuipata kupitia hapa mtandaoni au WhatsApp number 0752109702.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa civic syllabus claa VI au scheme for class Vi new syllabus

    Naombeni msaada wa new syllabus ya civic class VI au scheme of work class VI pliz mweny nayo naomb msaada wako kupitia hapa mtandaoni au wasap 0752109702 pia nitatoa sh 1000/= kwaajl ya mb's Ahsante.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    Habari zenu ndugu zangu naomba kuwauliza.. Je ninapo download habari au taarifa au ninapoiandika kwenye excel, word, au power point na kui download iwe kwenye PDF nawezaje kuiprint ikawa katika uhalisia iwe kwenye karatasi..?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kueleweshwa usawa kati ya postgraduate na degree

    Naomba kufahamu usawa uliopo Kati ya postgraduate na degree yaani Kama kunakazi unahitaji kigezo Cha degree alafu Mimi nina postgraduate je naweza kuomba?
  12. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Airtel wana tatizo gani? Msaada wa kisheria

    Habari wanajukwaaa. Poleni kwa majukumu ya kuijenga Tanzania yetu mana ni Mali yetu site na sio kuwa ni ya MTU Fulani ama kikundi Fulani cha watu. Nilenge shida kamili ni hivi: Kuna mshkaji kwangu Wa karibu amelalamika juu ya hii kampuni na utoaji wao Wa huduma zao. Ishu Iko ivi kuna Yale...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Tafadhali naomba Msaada kwa hili

    .
  14. M

    JamiiForums Tanzania Anayeifahamu vizuri Toyota Starlet anisaidie

    Mwenye uelewa zaidi wa Starlet (Carat model 1999, 4E-FE engine) naomba anijuze uimara na upatikanaji wa spares nisije kupoteza pesa zangu.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejuwa zilipo ofisi za UMATI kwa Dar

    Habari zenu, Naombeni msaada anayejuwa zilipo ofisi za Chama Cha Uzazi na Malezi Bora (UMATI) ofisi kuu anipe maelekezo nafikaje hapo mie nipo Gongo la mboto,, Naombeni msaada nahitaji kufika kesho Asanteni
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wenu, kwa wale wanaofahamu

    Habari zenu wakuu. Mimi ni muajiriwa wa Serikali, siku za hivi karibuni nimebahatika kupata kazi shirika la umoja wa mataifa UN kwa hapa nchini na mshahara na marupurupu yake ni zaidi ya mara 5 wa ule wangu wa serikalini, pamoja na kulipiwa nyumba ya kukaaa. Lakini kitengo nilichoajiriwa...
  17. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanye nini baada ya kupoteza vyeti

    Habari za asubuhi wadau! Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript. Nimejaribu tafuta contact za Wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote mpo, nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu! Natanguliza shukrani, naomba tu...
  18. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mpenzi wa pembeni sisimamishi

    Habari zenu, Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia...
  19. balimar

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari nataka kujua utaratibu wa kuingiza mnyama toka nchi jirani

    Tafadhali wadau za jioni? Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari naombeni mnisaidie maelekezo na namna bora ya kuliwezesha hili wazo langu. Asante.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimfanyeje huyu tapeli?

    Jamani hodi! Wanajamvi sote tunafahamu hali ya uchumi ilivyo. Nisaidieni mawazo nimetapeliwa, ilikuwa hivi: Kuna dogo tuliongea biashara ya dagaa, akaniambia dagaa wanalipa ila mtaji tu ndio hana. Basi mimi nikamtathmini nikamuona ni dogo fighter, nikaona nishirikiane nae kwa masharti nafuu...
Back
Top Bottom