msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hp4510

    Msaada wapi napata mafriza used

    Wakuu habari za weekend Naitaji Frizer used Mwenye nayo an dm
  2. Nigrastratatract nerve

    Tundu Lissu anahitaji msaada wa kisaikolojia, watu wake wa karibu wamrudishe Hospitali akatibiwe kisaikolojia hayuko sawa

    Kwanza nampa pole huyu kijana mwenzangu hali iliyompata haikuwa nzuri mtu yeyote aliyepitia aliyoyapitia Tundu Lisu anaweza Fanya anayoyafanya kwa sasa asipopata washauri wazuri Mpaka sasa haijajulikana ni nani alimpiga zile brancos Tundu Lissu yaani mfano wa Risasi Yaweza kuwa Chama chake...
  3. Raja_Makuku

    Naomba msaada wa mawazo au tiba

    Ndugu zangu wana JF nina mambo mengi ila mawili ndio makubwa sana kwangu 1. Sipati usingizi napohitaji kulala Hivi, ukiwa kitandani unahitaji kulala akili yako inatakiwa kuwa focused katika jambo gani ili uupate usingizi? Maana nimejaribu mengi bado nipo palepale. Mimi ni dereva na kutokana na...
  4. anti-negative energy

    Msaada kwa anae fahamu kujirecord video na kuiwekea wimbo wowote kwenye background

    JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
  5. Joseph Mathew

    Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 natafuta kazi yoyote ya halali

    Hello wana JF, Mimi ni kijana nimemaliza form four 2018, natafuta kazi nina ujuzi wa kutumia computer, pia nafanya kazi yoyote YA HALALI , pia nafanya kazi yoyote inayohsu mambo ya computer. Msaada wenu wana JF niko Dar Gongo la Mboto
  6. Baba Jadecah

    Msaada wadau. Naomba mwenye ujuzi wa kuinstall application kwenye PC

    Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall bluestalk maana kwenye pc yangu inazingua sana yaani bluestalk inakuwa slow sana kuload engine...
  7. Mr Kazembe

    Msaada kuhusu Western Union anayeijua vizuri

    Mimi ni Youtuber na adsense wanamfumo wa malipo kupitia western union wanahitaji majina tu ili watume pesa uwende ukachukue sasa... Kitambulisho cha kura huwa jina la kati wanalikata Mfano Aliyy Omary Hemed Kwenye kitambulisho wataandika Aliyy O Hemedy Nachotaka kujua je kitamburisho cha...
  8. AbuuMaryam

    Anahitaji msaada, titi lake la kushoto lina maumivu makali

    Tafadhali tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa wataalamu walio humu.. . Mke wangu leo toka asubuhi ameamka na MAUMIVU ya TITI Lote hasa sehemu ya chini ya titi.. . Hali iliyompelekea kupanda homa. .. Yeye anasema hamna kitu kimetokea zaidi ya kumnyonyesha mtoto. .. Wala halijavimba wala...
  9. sindesunde

    Msaada jamani nikila chakula nasikia njaa baada ya muda mfupi

    Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi. Naomba ushauri...
  10. M

    Msaada: Huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha. Tamuona Doctor lakini kwa sasa nipo eneo ambalo hakuna daktari, angalau paache kuwasha tu na kuondoa hivo...
  11. kikoozi

    Mnaokaa Mwanza, mnaoifahamu Mwanza vizuri msaada wenu tafadhari kwa mdogo wenu

    Habarini za asubuhi hii ndugu zangu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kwa jumatatu hii ya leo. Niende kwenye maada moja kwa moja. Baada ya kuangaika kutafuta ajira kwa mda mrefu atimae nime-bahatika kupata sehemu ya kujishikiza kwa muda mfupi kidogo (ni project), Niliachoamua mpaka sasa ni...
  12. mugah di matheo

    Msaada Tafadhali juu ya afya ya uzazi

    Hellow wanabodi naomba kujuzwa madhara ya punyeto kwa mda mrefu zaidi ya miaka 8, Na nizipi njia za kusaidia kuacha hiyo tabia? Na vipi kuna naamna ya kurudisha nguvu za kiume znazopotea kwa ujinga huo? Nisaidieni madaktari
  13. KIGHERA

    Msaada wa kiutumishi (mambo ya Lawson)

    Habari Wadau, niende moja kwa moja kwenye ishu yangu, niliajiriwa kwenye taasisi moja ya serikali miaka ya nyuma then nikapata kazi taasisi nyingine nayo ni ya serikali. Nafasi niliyopata ilikuwa ni nzuri kidogo nikilinganisha na ile ya awali hivyo ikanilazimu kuacha kazi taasisi ile ya awali...
  14. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wana JF, Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma. Wanaoijua tiba mnijuze niokoe maisha yake na familia yake. Ushauri na Maoni yaliyotolewa na wadau ---
  15. K

    Msaada wadau simu inagoma kupakuwa App playstore

    Wakuu habari ya leo? Simu yangu inanigomea kupakua app toka play store. Kama kuna mtu mwenye kujua mbadala wa play store and utatuzi kuweza kuifanya play store kuendelea kufanya kazi naomba msaada tafadhali. Asante
  16. K

    Msaada kuikuza account yangu ya forex

    Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi. Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na...
  17. U

    Je haya ni madini?

    Habarini wana JF. Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la? Naomba msaada wenu wakuu
  18. makenze

    Msaada: Mtoto akijisaidia utumbo unatoka nje

    Mtoto wa jirani yangu anaugua ugonjwa akijisaidia utumbo unatoka nje. Ana miaka mitatu. Ila kikubwa jirani hana uwezo wa matibabu sababu hata kujua mtoto tatizo lake linahitaj upasuaji mimi ndo nimemwambia baada ya kuuliza huku na huku. Ameshaenda hospitali lakini anadai bado dogo anatoa...
  19. T

    Nawezaje kuzuia wafanyakazi kuiba vifaa vya ofisi?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna kaofisi nategemea kuanzisha hivi karibuni ambapo nategemea kuajiri vijana nitakaoweza kuwalipa cash kwa mwezi, sasa ninapokwama ni kwamba hiyo ofisi itakuwa na mashine za kazi ambazo hao vijana watakuwa wanatumia kuingia nazo mtaani kufanya mauzo na kisha jioni...
  20. Fenuchi

    Naomba msaada wa tiba ya vipele kwa mtoto wangu

    Samahani naomba mnisaidie ushauri kuhusu huyu mwanangu ana 2 years amepatwa na vipele usoni, shingoni masikioni nk. Vingine vikikauka vinatoka vipya tena vingine. Nilimpeleka hospital huku wakampa Ethromycin na Pricostant Cream ila bado hali inaendelea na dawa zimeisha. Vipele vipo vinakuwa...
Back
Top Bottom