Msaada Tafadhali: Kufactory Ipad

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Wakuu,

Nina Ipad yangu zile za kitambo za 16 BG

Sasa nataka kuresert / Factory nimejaribu Kuingiza password zote ambazo nakumbuka but imekataa inasema ni wrong.

So please kwa mtu yeyote ambaye anajua manouver ya kufanya nikaresert kila kitu.

Coz kuna mtu nataka kumpa ikiwa haina kitu changu chochote.
 
Kama imegoma nakushauri peleka kwa fundi akusaidie.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Mmiliki ni wewe af hujui password???
Mimi ndio mmiliki
Anyway. Fanya hivi, Fungua hiyo account yako kwenye Simu au PC kisha reset password za icloud kisha Restere iyo device yako kwa Itunes on PC/MAC kisha utalogin icloud yako. Hakikisha una WiFi

Emaphakadeni
 
Wakuu,

Nina Ipad yangu zile za kitambo za 16 BG

Sasa nataka kuresert / Factory nimejaribu Kuingiza password zote ambazo nakumbuka but imekataa inasema ni wrong.

So please kwa mtu yeyote ambaye anajua manouver ya kufanya nikaresert kila kitu.

Coz kuna mtu nataka kumpa ikiwa haina kitu changu chochote.
Download itunes kwenye pc, download specific ipsw file la ipad husika chomeka ipad kwa pc ikiwa kwenye dfu mode fungua itunes shikiria shift key kwenye keyboard kama watumia windows au cmd kama watumia mac bonyeza update kwenye itunes itakutaka ulocate ipsw file lilocate then click upadate/next then sit and relax ikirestore ikimaliza itabid uset kila kitu upya, ila kama ilkuwa na icloud bado itakudai ila kama access password itaondoka
 
Wakuu,

Nina Ipad yangu zile za kitambo za 16 BG

Sasa nataka kuresert / Factory nimejaribu Kuingiza password zote ambazo nakumbuka but imekataa inasema ni wrong.

So please kwa mtu yeyote ambaye anajua manouver ya kufanya nikaresert kila kitu.

Coz kuna mtu nataka kumpa ikiwa haina kitu changu chochote.
Za kitambo zipi? Ungeweka model ingekuwa rahisi zaidi maana kuna vifaa vya zamani vya Apple havijaathirika na icloud. Sema kama ni enzi hizo pia hutaweza kuweka app yoyote ya maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom