msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

    Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
  2. Cvez

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuimport tractors kutoka UK

    Habari Wakuu! Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji msaada kwa mwenye uzoefu au details za jinsi ya kuimport tractor (s) kutoka UK kuja Tanzania.
  3. google helper

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa liduid seaweed concetrated fertilize

    Wakuu habari za maisha na mapambano ya maisha kwa ujumla? Poleni kwa Corona na uhaba wa sukari. Msaada kwa yeyote mtaalamu wa kilimo hasa cha green house na hiki kilimo cha kisasa cha hydroponic. Nina shida na liquid seaweed fertilizer concentrate, akitoa ushauri na matumizi yake na wapi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua dawa ya NIMR inapatikana wapi?

    Wadau kwa sasa kuna dawa ambayo inapigiwa upatu kwamba inasaidia kuongeza kinga ya mwili dhidi ya corona. Ni mchanganyiko wa vyakula vya asili. Inaitwa NIMRCAF. Kama kuna yeyote anaifahamu utuambie inapatikana wapi. === ZAIDI KUHUSU DAWA HII SOMA HAPA = > NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza...
  5. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Msaada watalaamu wa Madini

    Habari wakuu haya Madini Aina gani?
  6. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Wanawake, unatumiaje vocha hadi inaisha bila kumkumbuka aliyekutumia?

    Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa case law hii tafadhali

    Nimeitafuta kwenye TANZLII lakini some pages are missing. Kama kuna mwenye complete judgment tafadhali anitumie inbox. Nitashukuru sana. IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT MWANZA CORAM: JLJMA. C.J...
  8. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

    Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME. Angalia nakala ambatanishwa. TANZANIA Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
  9. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kudownload series (all in one)

    Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha. Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent...
  10. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika kujua utaratibu wa hizi ajira za utumishi wa mahakama, kipengele cha masharti ya uombaji

    Aidha, inasisitizwa kwamba: - 9.1 Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na 44 9.2 Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa W ilaya anayoishi mwombaji. 9.3 Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa. 9.4 Waombaji walioacha kazi katika...
  11. g_code

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nahitaji pycham pro

    Naomba msaada ambaye ana pycham Pro anisaidie nahitaji hata kama link cracked itakuwa poa tu
  12. pandagichiza

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatufuniki macho kujikinga na Corona wakati virusi vinaweza kuingia kupitia hapo

    Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni. Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA? Nawasilisha.
  13. faru joni

    JamiiForums Tanzania Watanzania msaada wenu, nasumbuliwa na kifua

    Ndugu wana jamiiforum, naombeni msaada wenu, nasumbuliwa sana na kifua. Dalili ninazoziskia mpaka muda huu ni hizi hapa: 1. Kwanza nianze kusema sikohoi kabisa, nikimeza mate naskia mkwamo wa kitu kooni, ila nikimeza chakula naskia kawaida (kwenye kumeza chakula sisikii maumivu yeyote) 2...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada yako kunitafsilia maneno haya kwa Kiswahili

    Nimetoa Wikipedia. The four mild Coronaviruses have a seasonal incidense occuring in the winter months in Temperate climate. There is no preference towards a particular season in Tropical climate.
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aanza kutoa msaada wa kodi ya miezi 3 kwa kaya 500

    Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza. Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile dhamira yake ya kusaidia kodi ya pango kwa kaya 500 nchini zilizoathirika kiuchumi na janga la mlipuko wa...
  16. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Msaada; AKO Group Ltd wanaohusika na kupika wanapatikana wapi?

    Nimejaribu google lakini sijaelewa walipo. Me natokea Mbezi Kimara. Kwa anayejua msaada wa kuelekeza.
  17. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuweka picha JF Profile picture (avatar)

    Husika na kichwa cha habari hapo juu👆 lengo langu ni kupewa msaada jinsi gani! Ntaweza kuweka picha na kwenye wasifu wangu! Na pia jinsi ya kuweka video JF na picha za habari tofauti tofauti! Msaada wenu tafadhali
  18. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

    Habari za uzima ndugu zangu, poleni sana na miangaiko ya hapa na pale, Mimi ni kijana mwenye miaka 37 kwa sasa elimu yangu ni degree, kama mnakumbuka nilishawai kuja na uzi wa baba yangu mzazi wa kunizaa kunitimua nyumbani kisa eti mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi kisa cha kunifukuza ni...
  19. omben

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 ana tatizo la kutokupata haja kubwa. Tatizo hilo limeanza juzi, leo ni siku ya pili bila kupata haja. Ana joto la kawaida ila leo amebaki analialia tu. Nimekwenda zahanati wananiambia hana tatizo...
  20. muksinihamisi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuinstall file japokuwa nina account ya Google

    Nimecreate account ya Google kwenye simu yangu lakini kila nipotaka kuinstall fail kutoka Google naambiwa kuwa account yangu haija access so sijui nifanyeje
Back
Top Bottom