Nataka kuanza Biashara ya duka la rejareja msaada ushauri

Mstaarabu wa ukwee

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
205
250
Hbr ndugu.
Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo.

Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo?

Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo.

NB
Naomba ushauri pia juu ya mizani ya dukani bei na kuulipia maana nimesikia unalipiwa.
 
usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,179
2,000
Smamia biashara yako mwenyewe at least
Kwa miez 4, kabla ya kutafta mfanyakaz
Wa kusaidiana nae.

stidy
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,832
2,000
Hbr ndugu.
Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo.

Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo?

Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo.

NB
Naomba ushauri pia juu ya mizani ya dukani bei na kuulipia maana nimesikia unalipiwa.
Bidhaa za kuuza zinategemea na eneo ulilopo. Kwa mfano bidhaa za Namanga ya Dar au Oysterbay ni tofauti kabisa na bidhaa za Manseze Midizini au Yombo Dovya. Kama umelipia frem bila kufanya research ni bidhaa gani unatakiwa uuze basi umefanya makosa makubwa na huenda biashara ikakushinda mapema sana. Biashara yoyote inafunguliwa baada ya kufanya utafiti wa kina.
 
Benhorta

Member
May 8, 2016
70
400
Kwanza fridge muhimu,ukipata mbili lile la kulaza na tower moja la malango wa kioo ambalo utajengea kwa njee.
Mizani
Then, nunua mahitaji yafwatayo.
Unga sembe kilo 25 viroba @5
Unga sembe kilo 5 " @5
Unga Dona kilo 25 kiloba @1
Sukari kg 50 " @1
Sukari kg 1 package 10
Michele kg 50 grade 1
Mchele kg 50 wa kawaida
Mafuta ya kula ndoo kubwa @2
Mafuta yakula liter 1 vidum v 5
Mafuta yakula 🌻 liter 1 kopo 5
Mafuta taa liter 20
Tambi box 2
Marangwe soya njano kg 25
Maragwe red kg 25

Vifaa,
Bulb 💡 watt 50 piece 5
Bulb watt 18 energy sever 10
Bulb za bei chee chini ya watt 12 piece 10
Mifangio ya ndani piece na vifaa vya usafi piece 10 changanya aina.
Battery 🔋 box 5 changanya aina ndogo kubwa na kati,

Vinjwaji, Hapa take away, soda chumba Crete,Maziwa mtindi hapa chukua kidogo kidogo kwa kuchanganya aina.

Usisahau, Vipodoz, pen, mafuta ngoz, madaftar, giki, Sabuni ya kufunga nunua mfuko 1 then funga vidogo vile vya jero jero, sabuni jamaa box 2 ,Omo, forma packets,Sabuni Magadi, Majani ya chai zile za box na packets, jojo,biscute box ,deto kipande na maji, Dawa za kuu mbuu rugu nk, Lesso,Vitu hivi chukua kidogo kidogo kwa kuchanganya aina.
 
diuretic

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
217
250
Mimi nasimamia Duka la rejareja la nyumbani kwetu, kiukweli kuna muda faida inaonekana Kwa kiasi chake. Mtihani upo kwenye wauzaji yaani ni lazma wakuibie,kama Una uhakika wa muuzaji mzuri labda ni wewe utauza au ndugu unamuamini basi utafanikiwa sana. Muuzaji unakuta bidhaa imeisha wala hajali apo bado hajapunguza na hela ya mauzo Yani ni kero
 
Capital G

JF-Expert Member
Jul 2, 2017
1,217
2,000
Asante sana mkuu umefafanua vyema
Kwanza fridge muhimu,ukipata mbili lile la kulaza na tower moja la malango wa kioo ambalo utajengea kwa njee.
Mizani
Then, nunua mahitaji yafwatayo.
Unga sembe kilo 25 viroba @5
Unga sembe kilo 5 " @5
Unga Dona kilo 25 kiloba @1
Sukari kg 50 " @1
Sukari kg 1 package 10
Michele kg 50 grade 1
Mchele kg 50 wa kawaida
Mafuta ya kula ndoo kubwa @2
Mafuta yakula liter 1 vidum v 5
Mafuta yakula liter 1 kopo 5
Mafuta taa liter 20
Tambi box 2
Marangwe soya njano kg 25
Maragwe red kg 25

Vifaa,
Bulb watt 50 piece 5
Bulb watt 18 energy sever 10
Bulb za bei chee chini ya watt 12 piece 10
Mifangio ya ndani piece na vifaa vya usafi piece 10 changanya aina.
Battery box 5 changanya aina ndogo kubwa na kati,

Vinjwaji, Hapa take away, soda chumba Crete,Maziwa mtindi hapa chukua kidogo kidogo kwa kuchanganya aina.

Usisahau, Vipodoz, pen, mafuta ngoz, madaftar, giki, Sabuni ya kufunga nunua mfuko 1 then funga vidogo vile vya jero jero, sabuni jamaa box 2 ,Omo, forma packets,Sabuni Magadi, Majani ya chai zile za box na packets, jojo,biscute box ,deto kipande na maji, Dawa za kuu mbuu rugu nk, Lesso,Vitu hivi chukua kidogo kidogo kwa kuchanganya aina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom