Mimi nilikuwa nataka kununua Gari, kutokana na kutokuwa mzoefu na mambo ya magari na hii ni mara yangu ya kwanza kununua gari nikaamua kumtumia ndugu yangu ambae ana gereji yake nikiamini angenisaidia kupata chaguo zuri. Basi akanitumia picha nyingi tu za magari mwishowe akanishauri kununua gari...
Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita 20) na sio kwa kg.
Thanks for advance.
Hbr ndugu.
Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo.
Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo?
Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo.
NB
Naomba ushauri pia juu...
Habari wana JF, nimejaribu kutafiti mitandaoni kuhusiana na upatikanaji wa hiyo bidhaa(hizo boxes) hapo pichani lakini bado sijafanikiwa kwa hapa nchini kwetu.
Nawezaje kupata hizo boxes sample ya zile zinazohifadhi viatu vipya vinapokuwa madukani hata kama zitakuwa plain tu bila chapa/Nembo...
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC).
Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM.
Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata...
Habari wadau.
Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia.
Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima.
Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia.
Nimeangalia baadhi ya free themes...
Jamani naomba msaada niwafukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu.
1. Mmoja hajalipa kodi miezi mitano
2. Wapili hajalipa miezi miwili
3. Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi.
Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimi great thinker mwenzenu naionea...
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa sheria.
Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.
Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino.
Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
Hivi mmekwaruzana na mtu ila bado unamkumbuka hii nini ?
Kwa maana hata kusemeshana hakuna ila mawazoni yupo kama nini?
Kumtoa hakuna kila saa yupo mawazoni na hii nini?
Corona is real, tusichukulie poa!
Nilitambulishwa naye na rafiki yangu wa muda mrefu sana, naye ni wa kike.
Rafiki yangu huyo akaniomba nimpeleke kwenye kiwanja fulani akakutane na baharia fulani.
Katikati ya Safari nikawa nasikia akiongea na mpenzi wake. Mahaba ya kwenye simu kama yote...
IMF Executive Board Approves Immediate Debt Relief for 25 Countries
Washington, DC – Ms. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF) issued the following statement:
“Today, I am pleased to say that our Executive Board approved immediate debt service...
Hi.
Naombeni mnipe mbinu ya haraka na rahisi nitakayoitumia kupunguza marafiki nilio nao.
Nina marafiki wengi "mashosti" karibu kila mtaa wengine ni marafiki tangu shule ya msingi. Kwa sasa sijisikii kuwa na marafiki wengi namna hiyo lakini kila nikijaribu kuwakwepa wapo tuu.
Nimejaribu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.