Naomba msaada namna ya kuwafukuza wapangaji wasumbufu na wachafu kwenye nyumba yangu

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Jamani naomba msaada niwafukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu.

1. Mmoja hajalipa kodi miezi mitano
2. Wapili hajalipa miezi miwili
3. Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi.

Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimi great thinker mwenzenu naionea aibu.

Mbaya zaidi mimi sikai nao na Niko mbali kwa hiyo wanatake hiyo advantage kunilipa miezi watakayo.

Nyumba iko Dar namimi niko mbali sana hivyo ufwatiliaji wa karibu unakuwa mgumu.sana.
Siwataki kabisa Yaani ningeweza wangeondoka hata usiku huu.

Ndugu yangu aliepo hapo Dar ana mitikasi yake mingi hivyo hana muda wakuwafwatilia.

Naomba msaada niwafukuzeje?
 
Nakuomba Mkuu kwa huruma Kuu, usiwafukize watanzania wenzio maskini. Kuna changamoto kadhaa imewafanya wasikulipe kwa wakati.

Waeleze tu jinsi unavyojiskia vibaya kucheleweshewa kodi yako na mazingira ya uchafu. Wakanye kwanza. Mungu akupe moyo wa subra.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu you seem a nice person hongera sana.... japo muda mwingine watatumia advantage ya upole wako but muda mwingine inatakiwa kuwa kama hivi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom