msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujuzwa ofisi za NACTE zinapopatikana kwa mkoa wa Mbeya

    Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
  3. Afrika Yote

    JamiiForums Tanzania FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

    Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko? Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto anaumwa kifua kilichosababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa

    Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza kusumbuliwa na kifua anashindwa hata kupumua hadi wampepelee ndo anapata nafuu. Naomba msaada kwa mwenye...
  5. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bima ya Afya

    Hello habari, Naomba kufahimishwa kuhusu hili. Iko hivi, nilimtengenezea Bima ya Afya mke wangu mwaka juzi. Kwa bahati mbaya maradhi yakamwondoa. Changamoto nilioipata ni kushindwa kuipata kadi ya bima ya afya baada ya umauti wake. Sasa ninajipanga kuoa tena soon nilikua nataka nitoe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Mimi ni muajiriwa Serikalini. Nilikopa kwa watu wanaotoa riba alafu yeye anabaki na kadi yako ya benki mshahara ukiingia anachukua. Tulienda nao vizuri baadaye Mambo yaka ingiliana uwezekano wa kuwalipa ukawa haupo nikaanza kuwapiga chenga mshahara ukiingia Mimi natoa kwa NMB Mobile. Jamaa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu nje ya kumchapa viboko Mtoto 'Mtukutu' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu

    Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa ' Kumuadabisha ' Mtoto hivyo sasa nataka Msaada wenu wa aina ya Adhabu ' Kali ' zaidi za Kumpa Mtoto ili...
  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi nitapata records za ngoma za asili

    Mzuka wanajamvi Ni wapi nitapata records za ngoma za asili kwenye kanda CD na kadhalika ili nipate burudani ya kipekee nikiwa nimepumzika naendesha gari n. K hasa midundo ya Kizaramo, kimakonde na kimatumbi zinabamba balaa. Pandemic Enthusiast
  10. Big Results Neo

    JamiiForums Tanzania Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

    Habari ya muda huu viongozi.. Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani. Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina udomo zege usiopimika

    Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana.. Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake! Nateseka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kutumia mabox ya kuflash simu

    Wakubwa salaam Nilinunua mabox ya kuflash simu mawili piranha na volcano mwaka 2015, nilikuwa nayatumia vizuri tu bila shida,sasa leo nimepiga window upya yamegoma kutumika na website za Haya makampuni naona kumbe ziko offline kwa muda mrefu sasa. Nisaidieni nifanyeje niweze kuyaset na...
  13. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bell pepper ( pilipili hoho) kwenye soko la jumla inauzwaje?

    Niaje wakuu. Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
  14. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kitabu cha Alfu lela U lela

    Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo! Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
  15. Samaki Nchanga

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Laptop

    Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond. Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
  16. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Bongomovie kwa hali serikali kuwapa msaada ni ngumu. Nyie wenyewe hamuwezi kujisaidia kifikra

    😂😂😂 Et ndo comedy hii, Tuwaachie wakina Joti na Mpoki, Idriss sultan tafuta kazi ya kufanya comedy sio fani yako.
  17. Atubela

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata product key ya Window 8.1 Pro

    Wadau habari zenu, Naomba msaada wenu wa kupata product key ya Window 8.1 Pro tafadhali
  18. Kelvin X

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta fundi wa Computer

    Natafuta fundi aliyeko Dar Upanga au Kariakoo. Nina computer yangu laptop Acer inawaka vizuri ila hai display ni pointer tu naiona ila vingine sioni. Nili nunua anti virus Kaspersky ndio problem ilipo anza
  19. abias laurian

    JamiiForums Tanzania Msaada: Software yenye uwezo wa kufuta ma-file yaliyojirudia

    Je, kuna software yoyote nzuri ambayo inaweza kudelete mafile yaliyojirudia kwenye computer? Kama ipo naomba msaada wenu!
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wataalamu wa Magari Emergency tafadhali

    Wakuu mambo vipi? Natumia BMW E90 2007 (3 Series) sasa nikiwa mjini uwa najaza unleaded ya Total au Puma. Sasa nipo njiani na nilipo sahivi usiku huu hakuna kituo cha karibu cha Puma wala Total. Je, nijaze Petroli yoyote kwa leo tu hakuna tatizo linaloweza jitokeza? Nakutana na pump za...
Back
Top Bottom