Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima.
Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na hii: www.world-companies.com lakini nimekwama pa kuanzia.
Nimeangalia baadhi ya free themes kwenye WordPress.org kwa ajili ya kutengeneza business directory lakini nimeshindwa kufanya customization ili kupata ninachotaka.
Msaada tafadhali wakuu.