Habarini,
Rejea title inavyosema. Nina simu yangu ya Android (Tecno Spark III) yenye tatizo kama nilivyoeleza kwenye title.
Ina kama siku ya nne tangu ilivyoanza kuleta shida ambapo ilianza kwa kustuck... Kadri siku zinavyokwenda tatizo linazidi kuogezeka kiasi cha kuanza kujipress yenyewe...
Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali...
Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana...
Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI...
Habari zenu wadau:-
Kuna nyumba ya jamaa wangu, imeteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme, kutokana na ajali hiyo, nyumba na vitu vyote vimeteketea.
Je naweza kuanzisha kesi ya madai?
Naomba muongozo jinsi ya kuanzisha kesi ya madai kwa TANESCO.
Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19
MADA
Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording katika PC yangu. Nimejaribu kutumia software ya CAMTASIA 2018; shida ni kwamba PC inakuwa nzito ku...
Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.
Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa...
Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili
tatizo.
CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA
China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan
Source...
Jana ndugu yangu alienda kupima Corona baada ya kupimwa akataka aondoke baada ya kumaliza kupimwa akaambiwa akae kwanza karantini mpaka kesho yake na majibu atapewa hiyo kesho.
Na Mungu mkubwa matokeo amepata negative ila wamemzuia kuondoka leo bila kutoa gharama ya kuwepo karantini ambayo...
Kuna kazi zimetangazwa na NMB lakini kila nikijaribu kulogin inani katalia pasword siikumbuki. Nikiweka email nikaenda kwa forgot pasword ili wanitumie link ya kujireset inanipa majibu haya:
Notice
SMTP Error: Could not authenticate.
Je, ni system yao inasumbua au? Naomba msaada nijue nini cha...
Salaam wanabodi,
Mwaka 2018 nilipata bahati ya kuitwa interview ya shirika la Ujerumani ambapo katika usaili waliniuliza endapo ningekuwa nimefanikiwa kwenda kufanya kazi huko Ujerumani na katika majukumu yangu nikakutana na mashoga ningefanyaje? Kazi niliyoomba ilikuwa ni Kusimamia Mradi wa...
Line yangu imeibiwa nikawaomba Tigo wai-block ili mwizi asitume meseji kwa watu na Tigo wakaifungia sasa nataka kui-renew Ila nina wiki bado haifanyi kazi mnara unasoma lakini ukipiga unaambiwa line imefungiwa wakati Tigo wenyewe walinipa masaa 48 baada ya hapo line itafanya kazi.
Nimerudi tena...
Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite
Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata kioo Cha mkononi maana dukani kina Bei
NAOMBENI MSAADA WENU WADAU NA MAFUNDI simu
Ni vizuri Kushtuana wakuu.
Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo.
Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona nchini mwake. Katika taarifa yake hiyo Khamenei alirejea kuizungumzia dhana ya kwamba virusi hivyo...
Wakuu habarini za kazi naombeni msaada nataka special namba ya laini ya tigo isomeke 0655544791 ili ifanane na laini yangu ya voda nimejaribu kuiangalia namba hiyo kwa kutest kuitumia pesa bado haina mtu.
Nimejaribu Kwa watu wanao sajiri jibu nalopewa no kuwa Siku hizi hakuna huduma ya...
Wapendwa,
Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.