msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa kozi hii: Hospitality Operations

    Tafadhali naomba kufahamishwa kozi hii hapa inahusiana na nini? Hospital operations ndiyo nini? Unafanya kazi wapi? Ajira zake zikoje Tanzania? Unakuwa na utaalamu gani? Taarifa ya Kuchaguliwa Numba ya Mtihani Jina Jina la ChuoNational College Of Tourism - Arusha KoziHospitality...
  2. kinjumbi one

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kufika shule ya Sekondari Makongoro

    Habari, Naomba msaa wa kujuzwa ilipo Shule Makongoro Secondary school najua ipo mkoa wa mara lakini sijui Wilaya gani? Na nafikaje? Natanguliza Shukrani sana.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada gari imegoma kuwaka ghafla

    Habari zenu, Nipo na project yangu kufanya engine conversion ila sasa nimekwama njiani. Nimeweka engine ya 2jzge non vvti kwenye gari, siku za mwanzo, mafundi walifanya wiring na wakajaribu kuiwasha ikakubali fresh. Kwa vile ilikuwa kuna vitu vyengine kama exhaust nlikuwa sijamaliza...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi

    Nina degree ya Education kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, certificate ya Research and Data Analysis chuo kikuu cha SAUTI, certificate ya Administration and Management chuo kikuu cha SAUT, experience three years in teaching. Namba zangu ni 0768752056 na 0673650746
  5. MigoMigo09

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayoulizwa sana kwenye interview ya utumishi kada ya ununuzi na ugavi (procurement)

    Naomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi. Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
  6. KamyZee

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kupata uhamisho kidato cha tano

    Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you. Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye...
  7. GuDume

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu ninakaribia kupoteza files ambazo nimeyatunza miaka mingi sana

    Wadau wa JamiiForums habari yenu, Kuna files ambazo ni nyeti sana nilizi-ZIP na ku-Encrypt kwa password mwaka 2008-2009. Bahati mbaya sana nimesahau Password yake tayari nimehangaika sana pasipo mafanikio kila "Password" nimejaribu. Je, kuna mtu anaweza niambia nifanye nini? Maana nimejaribu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mambo ya Bima

    Wadau habari blue Monday. Naenda kwenye hoja. Nilikuwa na IST ya 11,500,000. Nilipigwa na Ice tarehe 10/10/2019. bima nilikata ya tarehe 08/07/2020-07/07/2020. Claim amount imesoma 15,800,000 na payable ni 9,000,000. Katika michakato hii, je, hii gari nimali ya bima au inabakai kuwa yangu?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Daktari Bingwa wa Sikio Ent Mwanza

    Samahani wakuu ninashida ya sikio nilikua nina fungus nimejaribu kutumia antibiotic sujaona nafuu samahani ambae ana fahamu dactari bingwa wa ENT. Naomba msaada tafadhali
  10. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maelekezo kwa wakazi wa Dodoma

    Wasalaam wakuu, Naomba mwenye kufahamu jinsi ya kufika Kizota ukitokea Sabasaba Stendi au Nyerere Square, natanguliza shukrani🙏
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuinstall APK lakini inaniandikia hivi?

    Shida ni nini wajuzi maana nimejaribu kudownload hiyo APK kupitia Opera Mini imeandika hivyo. Nikaona ngoja nijaribu kudownload kupitia Google bado pia imeniandikia hivyo
  12. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada ndugu zangu

    Mwenye link (livestream) ya mpira atupie hapa
  13. Rolandi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  14. Richest richman qudu

    JamiiForums Tanzania Msaada maswala ya Mikopo Elimu ya Juu

    Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha. Je, nikiapply tena...
  15. vee15

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

    Hello wana JF, Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA. Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia? Asanteni
  16. venchwa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanapatikana wa ku-translate nyaraka zilizoandikwa kwa lugha za Ukrainian au Russian?

    Msaada please, Wanaojua nisaidie wapi wanapatikana wa ku-translate document kwenye Ukrainian au Russian Language. Nataka kumsomesha mdogo wangu Ukraine. Naomba msaada wanapo translate ili document zipelekwe ubalozini Nairobi.
  17. Feberia

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kudownload Coreldrawx3

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu kuomba msaada kwa yoyote mwenye kuweza kunifahamisha zaidi jinsi nitakavyoweza kudownload CORELDRAWX3 Au nyingine yeyote yenye kufanya kazi sawa na hii Asanteni
  18. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kati ya TV Hasence na TV Boss

    Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43. NB: Don't mind about uandishi plz
  19. G

    JamiiForums Tanzania Bati za Waja General ni nzuri?

    Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu...
  20. hypothalamus

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne wanaotamani kujiunga na fani mbalimbali za afya hii inaweza ikawa msaada kwao Disclaimer:Nimezisort fani hizi kwa "utashi wangu" wa jinsi ninavyoona demand ya fani husika kwa taifa kwa sasa na sio official sorting kutoka mamlaka yoyote ile 1.Diagnostic...
Back
Top Bottom