msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kituo cha tuition kwa ajili ya kurudia (ku-reseat) Mitahini Form 4

    Heshima Mbele wadau Kuna bwana mdogo kachemsha pepa najaribu kuona namna ya kumsaidia. Naomba kuulizia kituo cha maandalizi/tuition center kizuri kwa maandalizi kilichopo maeneo ya Goba au Mbezi Mwisho kwa ajili ya mwanafunzi anaetakiwa kurudia NECTA Form 4. Masomo Geography, History...
  2. sijaelewa

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Silent Ocean (simba wa bahari)

    Wana JF. Najua naweza pata msaada hapa. Naomba kwa mwenye uelewa wa namna hawa Silent Ocean wanavyofanya kazi. Je, wanaweza kunisafirishia mzigo kutoka China bila mimi kwenda huko? Asante wote mtakao nisaidia katika hili.
  3. Mtumpole

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye Car Diagnostic Software

    Mdau mwenye Car Diagnostic Software kwa ajili ya ku-install kwenye PC (Windows OS) anisaidie.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Editing, msaada kwa hili

    Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi. Kila nikiweka maandishi yanapita rangi nyeusi, yaani hayaishii kwenye Bodi ya rangi nyeusi. Natumia Adobe Premiere...
  5. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Msaada - Naomba kujuzwa utaratibu wa kusajili blog na online TV

    Salam wapendwa. Naomba kujuzwa na wajuzi. Utaratibu wa kusajili hizi blog na website pamoja online TV huko kunakoitwa TCRA. Je, ni aina gani ya blog? (Inayojihusisha na nini?) Je, vipi upande wa chennel ya YouTube? Na je, vip kuhusu website? NAOMBA KUJUZWA JAPO KWA UCHACHE
  6. Babarazack

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa walisoma masuala ya ukuzaji miitaala

    Habari. Wagenzi ninaomba msaada wenu tafadhali, naomba mnijuze ni chuo gani kinatoa diploma ya ukuzaji mitaala (diploma in curriculum development) sifa za kujiunga (vigezo) na mambo yote ya muhimu kwa ujumla. Asante
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Computer imejaa lakini kilichoijaza sikioni nikifute

    Nina shida ya computer, Windows 7 Pro Inaonyesha imejaa lakini siyaoni hayo mafaili ya kujaza 150 GB. Nawezaje kupata kitu kama listi ya mafaili yote yaliyomo kwenye computer, size yake na mahala yalipo ??? Kuna command prompt naweza kutumia? - Recycle bin is empty - Show hidden files and...
  8. gluckkcom

    JamiiForums Tanzania TCRA tunaomba msaada tafadhali

    Sisi hatukufanya makosa kuitikia wito wa kusajili lain zetu kwa alama za vidole Ila makosa yanafanywa na mawakala ambao mmewaamini na kuwapa dhamana ya kutupatia huduma hiyo wananchi Wana dumplicate data za mteja wa awali na kuzitumia data hizo kuwasajilia wateja wengine sim card huku...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya Uyole & Mbulu: Nahitaji mashamba ya kilimo

    Wanajamvi, Naombeni msaada kama kuna mkazi wa Mbeya Uyole au Mbulu, nahitaji kukodi shamba heka kuanzia 2 ili nikalime huko maisha magumu huku mjini. Kama yupo tafadhali naomba umsaada wa kupata shamba Mbeya Uyole au Mbulu kama inawezekana nipate mawasiliano yako tujadili kuhusu upatikanaji...
  10. tamsana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu aina ya Toshiba Tecra ina tatizo la kuwaka (blinking) taa ya charge

    Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini bado ile taa inablink. Pia nikirudisha battery ile taa inaendelea kublink throughout hadi niiondoe...
  11. Rangi ya buti

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuweka MS Office kwenye Window 10

    Habari humu jamvin! Nina PC yangu Lenovo window 10 nikitaka kuweka program yeyote inakataa...inahitaji trusted programs Nitafanyaje na ninahitaji kuistall MS Office.
  12. Jovet

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kurudia mtihani wa kidato cha sita, utaratibu ukoje?

    Wakuu naomba msaada wa kujuzwa utaratibu wa kufwatwa nataka kurudia mtihani wa kidato Cha sita tahasusi ya PCM.
  13. Intrvt

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwenye Blockchain exchange nahitaji msaada

    Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani. Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's ID). Kama kuna aliyeweza kutumia passport au driving license pia naomba mwongozo, hii inanikwamisha...
  14. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu eSIM

    Habari zenu wadau, Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hii kitu Kwenye simu za iphone. Kwa sasa kumekua na matoleo ya iphone ambapo ni dual line ( laini mbili), lakini laini moja inakua ni eSim (laini usioiona kwa macho na inakua ndani ya simu). Hoja yangu ya msingi hapa nataka kujua je, hapa...
  15. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Msaada ku-unlock Huawei c2281

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kuifungua simu hii ili Nitumie laini za mitandao yote maana inaandika "insert uim card" Asante
  16. racka98

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuhusu kuchukua mzigo posta

    Wakuu nina swali kidogo. Niliagiza display ya laptop kutoka eBay trh 23 mwezi wa 6 na imeonesha kua tarehe 6 (Jumatatu) mzigo umeshapita customs na status imeandika Hold item at Point of delivery. Reason: no home delivery. Go to pick up Sasa sijatumiwa message wala kupigiwa simu, je natakiwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Course ya kusoma kulingana na matokeo haya

    Habari za wakati huu ndugu Wanajamvi, Kama kichwa Cha habari kinavo jieleza hapo juu mimi ni muhitimu wa Kidato cha Sita mwaka jana wa 2019/2020 mchepuo wa CBG matokeo yalikuwa kama hivi BAM=B, GS=C chemistry=D Biology=D Geography=D, sema msi shangae kwanini BAM, nina ufaulu huo nili chaguliwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika

    Ni kwa Mara ya kwanza naomba msaada humu jf, Nina shida na Tsh. 200,000. Maana Niko pabaya, kwa ambaye yupo tayari kunisaidia Tafadhali, anisaidie, nitamrudishia. Msaada jamani watanzania wenzangu, Hili tatizo linaniumiza kuisha kwake ni mpka nipate hiyo fedha, Ubarikiwe Ahsanteni wakuu...
  19. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Wajuzi, hii inaweza kuwa ni aina gani ya simu?

    Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili, episode ya 7 Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua anipe jawabu Natanguliza shukrani
  20. Heater

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu kuachishwa kazi

    Hhhhhh
Back
Top Bottom