Msaada wa ufafanuzi kuhusu koz ya International Relations and Diplomacy

Whitney Houston

JF-Expert Member
Jan 5, 2019
213
403
Wanajamvi,

Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi? Upatikanaji wa ajira zake ukoje?

Kwenye uandishi kama kuna sehemu nimekosea mnielekeze sababu sijawahi kupost thread humu JF.
 
Ingia Google au nenda chuoni
Chuo Cha diplomasia kurasini
 
Post zimetoka jana, naona mwaka huu wengi wametupwa chuo kuliko advance.
 
Wanajamvi,

Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi? Upatikanaji wa ajira zake ukoje?

Kwenye uandishi kama kuna sehemu nimekosea mnielekeze sababu sijawahi kupost thread humu JF.
Wanaosoma hiyo kozi wanapaswa kufanya kazi ubalozini.

Kuhusu fursa za ajira kwa kweli sasa hivi kila kozi utakayosoma haina gerentii ya kukupatia ajira mara umalizapo.

Soma kile ukipendacho kijana, ajira siku hizi ni ngumu kwa kila fani utakayosoma.
 
Back
Top Bottom