Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

roselina john

JF-Expert Member
Aug 17, 2017
758
942
Habari ndugu zangu,

Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu

Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa,

Naona maisha ya kuajiriwa siyo,

Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara,

Nataka niende Jumamosi kukusanya mchele na kuleta dar es salaam ningeomba mnisaidie wajuzi wa masuala haya kwa ushauri na changamoto za kukusanya mchele, nitumie mbinu gani kupata mchele safi,

Nina mwenyeji wangu katika masuala haya ila sasa sitaki kuonekana sina idea kabisa,

Naomba kujua haya,
A. Gunia linauzwaje?

B. Gharama za kusafirisha?

C. Wasafirishaji wanakuwa sehemu husika au tunasaka?

D. Gharama za Njian za mizani na ushuru mbalimbali.

E. Gharama za kukusanya nazo zikoje?

Naombeni mawazo yenu
 
Gharama ya mchele inategemea na grade ya mchele unayohitaji.Ukienda mashineni utaonyeshwa sample halafu mtanegotiate bei kutokana na gharama ya mchele utakaouridhia.
Kuhusu usafiri inategemea unasafirisha kwenda wapi ila from mbeya to Dar gunia ni around 10k wakati kutoka ifakara to Dar gharama ni around 7k.
Ushuru ni 5k kwa gunia,hii ni kwa ifakara sijajua Mbeya
Pia kuna gharama nyingine kama kupakia magunia na kupaka mafuta mchelehizi ni kama 1k per gunia though am not sure sana kwa hili
Bei ya mchele kwa sasa imeshuka so even 1k unapata mchele mzuri tu

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi huwa hawajui "Hakuna mchele mbaya Wala mzuri" , najua mtashangaa sana ila huo ndio ukweli.

Iko hivi TANZANIA huwa Kuna misimu mitatu ya mchele na mpunga. Huwa unaanza msimu wa Kanda ya Mbeya ambao kwa Sasa uneshafungwa baada ya kuvuna na watu wameweka kwenye maghala .... hufuata msimu wa morogoro ambao kwa Sasa ndio watu wanavuna wengine huuza muda huu ila wengi huifadhi ili kuuza mwezi wa kuanzia 10,11,12 au mwakani. Huu msimu wa morogoro watu wakimaliza kuvuna tunahamia Ukanda wa "Kahama" nadhani huanza mwezi wa 8 au 9.

Hizo ndio Location Site za zao la mchele kwa tanzania na kwasasa hivi tunavyozungumza site ya morogoro ndio inatema kwa MAAna watu wanavuna na kuuza Sasa hivi. Kwa hiyo jicho lako tupia morogoro (ifakara, malinyi na maeneo yanayolima huko)

Nataka nikueleze Kitu kimoja usithubutu kumuamini mtu kwenye biashara yoyote hususani ya mpunga na mchele hata aje akiwa ni mchungaji au shehe. Funga safari nenda hayo maeneo fanya mwenyewe.

Duniani Hakuna mchele mbaya. Mchele wote ni mzuri. Iko hivi watu wengi wa dar huutafsiri mchele mzuri ni ule mweupeeeeeeee ulionyoka. Sasa kwasababu hiyo ndio tabia ya wateja wako hupaswi kwenda kinyume na matakwa yao.

Kule kijijini huwa Kuna wakulima wanakoboa mpunga kila siku ili wauze. Ule mchele ukiuona ukiwa umetoka kwenye mashine huwa umefubaa kimuonekano hata Kama ukiwa umenyooka aje ukiuleta dar Hakuna mtu atanunua. Sasa kinachofanyika ni huo mchele huwa unapelekwa kwenye mashine za Ku-Upgrade huo mchele ambapo hizo mashine hutoa chenga zote za mchele na chuya au takataka zingine zisizohitajika.

Baada ya zoezi la kutolewa hizo takataka zote mchele wote hupakwa mafuta na kuanikwa. Ukiuona ndio unakuwa mweupe na kunukia Kama umeoikwa. Huo ndio ndio huitwa first class ambapo dar ndio una soko na wanaupenda.

Zoezi lote hili hata uwe na Tani 1 ya mchele huchukua masaa kadhaa mzigo wako unakuwa tayari.

Huko vijijini Kuna sehemu wanauza mchele uliokobolewa tu bila upgrade na ule uliokuwa upgraded , Sasa ni juu yako uchague wapi. Ila Mimi nakushauri nenda kwenye mashine unachukua mzigo ambao umekobolewa japo kimuonekano huwa ni mbovu ila upeleke kwenye mashine za Ku-Upgrade ili upate product pendwa huku dar na mijini.

Gharama ya Ku-Upgrade mchele- kwa kilo Mia huwa Ni 7000/= , kusafirisha kilo Mia kwa Lori kutoka ifakara mpaka dar huwa ni 7000 na kwa bus ni 20,000. Hakunaga hela ya vibalai. Kwa mtaji wako njia Bora ya kusafirisha ni malori maana mzigo wako utakuwa mkubwa Sana.

Mchele ifakara kilo moja huuzwa 1000 na dar huuzwa 1700,1800-2000...

Kwa kila kilo Mia unaweza kuwa unatengeneza faida ya shilingi 40,000 Kama ukitoa gharama zote za muhimu.

Cha msingi weka logistics zako vizuri kuanzia usafiri wa huko kijijini ( kutoka mashine ya kukoboa mpunga - mashine ya Ku-Upgrade mchele- usafiri wa Dar )... Hii utaitengeneza utakapoanza kazi.

Asante.
 
Hongera kwanza kwa kujibana na kufikia kiwango hicho,biashara ya mazao inategemea vitu vingi sana,baadhi ni kama umbali wa unapotoa na unapopeleka-usafiri,quality-grade,kuhifadhi na msimu.
Kuhusu soko ni wewe ndio uchague kutokana na mazingira yako na muda wako,
Experience yangu na ya mwingine haziwezi kufanana,
Ushauri :
Nenda kwa huyo mwenyeji wako funga mzigo mdogo walau tani moja wa grade yoyote utayopendelea kuanza nayo peleka sokoni(soko utalo pendelea mwenyewe),changamoto na utayokutana nayo ndo yatakujenga vizuri ujue ni approach ipi utumie na strategy ipi uifate kufikia lengo lako,(Nimeshauri kutokana na wewe ulivyojijengea kichwani)

NB:
Faida ya 100sh/Kg inatosha sana ukiweza zungusha na kukomaa na msimu husika,unaweza zungushia pesa yako mwanzo wa mzigo(shambani na mashineni) badala ya kusafirisha(hapa muda na risk inaongezeka) kwa faida ndogo lakini in bulk.

ONYO:
USIKOPESHE
 
Watu wengi huwa hawajui "Hakuna mchele mbaya Wala mzuri" , najua mtashangaa sana ila huo ndio ukweli.

Iko hivi TANZANIA huwa Kuna misimu mitatu ya mchele na mpunga. Huwa unaanza msimu wa Kanda ya Mbeya ambao kwa Sasa uneshafungwa baada ya kuvuna na watu wameweka kwenye maghala .... hufuata msimu wa morogoro ambao kwa Sasa ndio watu wanavuna wengine huuza muda huu ila wengi huifadhi ili kuuza mwezi wa kuanzia 10,11,12 au mwakani. Huu msimu wa morogoro watu wakimaliza kuvuna tunahamia Ukanda wa "Kahama" nadhani huanza mwezi wa 8 au 9.

Hizo ndio Location Site za zao la mchele kwa tanzania na kwasasa hivi tunavyozungumza site ya morogoro ndio inatema kwa MAAna watu wanavuna na kuuza Sasa hivi. Kwa hiyo jicho lako tupia morogoro (ifakara, malinyi na maeneo yanayolima huko)

Nataka nikueleze Kitu kimoja usithubutu kumuamini mtu kwenye biashara yoyote hususani ya mpunga na mchele hata aje akiwa ni mchungaji au shehe. Funga safari nenda hayo maeneo fanya mwenyewe.

Duniani Hakuna mchele mbaya. Mchele wote ni mzuri. Iko hivi watu wengi wa dar huutafsiri mchele mzuri ni ule mweupeeeeeeee ulionyoka. Sasa kwasababu hiyo ndio tabia ya wateja wako hupaswi kwenda kinyume na matakwa yao.

Kule kijijini huwa Kuna wakulima wanakoboa mpunga kila siku ili wauze. Ule mchele ukiuona ukiwa umetoka kwenye mashine huwa umefubaa kimuonekano hata Kama ukiwa umenyooka aje ukiuleta dar Hakuna mtu atanunua. Sasa kinachofanyika ni huo mchele huwa unapelekwa kwenye mashine za Ku-Upgrade huo mchele ambapo hizo mashine hutoa chenga zote za mchele na chuya au takataka zingine zisizohitajika.

Baada ya zoezi la kutolewa hizo takataka zote mchele wote hupakwa mafuta na kuanikwa. Ukiuona ndio unakuwa mweupe na kunukia Kama umeoikwa. Huo ndio ndio huitwa first class ambapo dar ndio una soko na wanaupenda.

Zoezi lote hili hata uwe na Tani 1 ya mchele huchukua masaa kadhaa mzigo wako unakuwa tayari.

Huko vijijini Kuna sehemu wanauza mchele uliokobolewa tu bila upgrade na ule uliokuwa upgraded , Sasa ni juu yako uchague wapi. Ila Mimi nakushauri nenda kwenye mashine unachukua mzigo ambao umekobolewa japo kimuonekano huwa ni mbovu ila upeleke kwenye mashine za Ku-Upgrade ili upate product pendwa huku dar na mijini.

Gharama ya Ku-Upgrade mchele- kwa kilo Mia huwa Ni 7000/= , kusafirisha kilo Mia kwa Lori kutoka ifakara mpaka dar huwa ni 7000 na kwa bus ni 20,000. Hakunaga hela ya vibalai. Kwa mtaji wako njia Bora ya kusafirisha ni malori maana mzigo wako utakuwa mkubwa Sana.

Mchele ifakara kilo moja huuzwa 1000 na dar huuzwa 1700,1800-2000...

Kwa kila kilo Mia unaweza kuwa unatengeneza faida ya shilingi 40,000 Kama ukitoa gharama zote za muhimu.

Cha msingi weka logistics zako vizuri kuanzia usafiri wa huko kijijini ( kutoka mashine ya kukoboa mpunga - mashine ya Ku-Upgrade mchele- usafiri wa Dar )... Hii utaitengeneza utakapoanza kazi.

Asante.
We muungwana umepitiliza! Hongera Sana.....afu umenikumbusha ..kupaka mafuta mchele,niliona Same Kuna scheme fulani ya umwagiliaji kule juu!
Kile kitendo kilinichefua Sana!
Kijana amevaa bukta tu anajigaragaza kwenye mchele!
 
Asante Sana mkuu..

Nadhani ni utofauti wa njia za kuupaka huo mchele mafuta. Nijuavyo Mimi huo mchele hupakwa mafuta kwa njia ya mikono maana ukisema utumie njia ya kukandamiza Sana unaweza kuukata kata Tena na kuzalisha vipande vingi.
 
Watu wengi huwa hawajui "Hakuna mchele mbaya Wala mzuri" , najua mtashangaa sana ila huo ndio ukweli.

Iko hivi TANZANIA huwa Kuna misimu mitatu ya mchele na mpunga. Huwa unaanza msimu wa Kanda ya Mbeya ambao kwa Sasa uneshafungwa baada ya kuvuna na watu wameweka kwenye maghala .... hufuata msimu wa morogoro ambao kwa Sasa ndio watu wanavuna wengine huuza muda huu ila wengi huifadhi ili kuuza mwezi wa kuanzia 10,11,12 au mwakani. Huu msimu wa morogoro watu wakimaliza kuvuna tunahamia Ukanda wa "Kahama" nadhani huanza mwezi wa 8 au 9.

Hizo ndio Location Site za zao la mchele kwa tanzania na kwasasa hivi tunavyozungumza site ya morogoro ndio inatema kwa MAAna watu wanavuna na kuuza Sasa hivi. Kwa hiyo jicho lako tupia morogoro (ifakara, malinyi na maeneo yanayolima huko)

Nataka nikueleze Kitu kimoja usithubutu kumuamini mtu kwenye biashara yoyote hususani ya mpunga na mchele hata aje akiwa ni mchungaji au shehe. Funga safari nenda hayo maeneo fanya mwenyewe.

Duniani Hakuna mchele mbaya. Mchele wote ni mzuri. Iko hivi watu wengi wa dar huutafsiri mchele mzuri ni ule mweupeeeeeeee ulionyoka. Sasa kwasababu hiyo ndio tabia ya wateja wako hupaswi kwenda kinyume na matakwa yao.

Kule kijijini huwa Kuna wakulima wanakoboa mpunga kila siku ili wauze. Ule mchele ukiuona ukiwa umetoka kwenye mashine huwa umefubaa kimuonekano hata Kama ukiwa umenyooka aje ukiuleta dar Hakuna mtu atanunua. Sasa kinachofanyika ni huo mchele huwa unapelekwa kwenye mashine za Ku-Upgrade huo mchele ambapo hizo mashine hutoa chenga zote za mchele na chuya au takataka zingine zisizohitajika.

Baada ya zoezi la kutolewa hizo takataka zote mchele wote hupakwa mafuta na kuanikwa. Ukiuona ndio unakuwa mweupe na kunukia Kama umeoikwa. Huo ndio ndio huitwa first class ambapo dar ndio una soko na wanaupenda.

Zoezi lote hili hata uwe na Tani 1 ya mchele huchukua masaa kadhaa mzigo wako unakuwa tayari.

Huko vijijini Kuna sehemu wanauza mchele uliokobolewa tu bila upgrade na ule uliokuwa upgraded , Sasa ni juu yako uchague wapi. Ila Mimi nakushauri nenda kwenye mashine unachukua mzigo ambao umekobolewa japo kimuonekano huwa ni mbovu ila upeleke kwenye mashine za Ku-Upgrade ili upate product pendwa huku dar na mijini.

Gharama ya Ku-Upgrade mchele- kwa kilo Mia huwa Ni 7000/= , kusafirisha kilo Mia kwa Lori kutoka ifakara mpaka dar huwa ni 7000 na kwa bus ni 20,000. Hakunaga hela ya vibalai. Kwa mtaji wako njia Bora ya kusafirisha ni malori maana mzigo wako utakuwa mkubwa Sana.

Mchele ifakara kilo moja huuzwa 1000 na dar huuzwa 1700,1800-2000...

Kwa kila kilo Mia unaweza kuwa unatengeneza faida ya shilingi 40,000 Kama ukitoa gharama zote za muhimu.

Cha msingi weka logistics zako vizuri kuanzia usafiri wa huko kijijini ( kutoka mashine ya kukoboa mpunga - mashine ya Ku-Upgrade mchele- usafiri wa Dar )... Hii utaitengeneza utakapoanza kazi.

Asante.
Mkuu hongera na asante kwa elimu hii ya awali kwa mleta mada,kupaka mafuta na kutia mchanga ni mbinu ya siku nyingi ya wauza mchele wasio waaminifu.

Ila kitu ambacho huwa wanachemka,ni ile harufu OG ya mchele,ambao huwa lazimu wachanganye tu mpya na huo wa muda mrefu ili kuweka eq balance.
 
Wewe jamaa una roho nzuri umetoa ufafanuzi safi kabisa.
 
Mkuu hongera na asante kwa elimu hii ya awali kwa mleta mada,kupaka mafuta na kutia mchanga ni mbinu ya siku nyingi ya wauza mchele wasio waaminifu.

Ila kitu ambacho huwa wanachemka,ni ile harufu OG ya mchele,ambao huwa lazimu wachanganye tu mpya na huo wa muda mrefu ili kuweka eq balance.
Mkuu mchele ukitoka kukoboloewa kwenye mpunga huwa hauna harufu Kali ya kunukia , njia zinazotumika kuleta harufu ni Kama kuukaanga au kuupaka mafuta na kuanika juani... Hizo ni njia salama kabisa Wala sio za kihuni.

Ukiletewa mchele ambao umekobolewa bila kufanyiwa hizo upgrading huwezi nunua hata kama ni wewe ... Ndio maaana hivi Sasa Kuna watu wamefunga mashine za Ku-Upgrade mchele tu huko vijijini

Zipo njia nyingi Sana za kihuni Kama hiyo kuweka mchanga ila pia uhuni mwingi ni kuwekewa chenga za mchele ... Kama nilivyoeleza kwenye mashine ya Ku-Upgrade mchele huwa zinatolewa chenga na kubakiza mchele ulionyooka tu. Kwa mfano ukienda Ku-Upgrade kilo 100 unaweza kubakiwa na kilo 99 zilizonyooka maana kilo moja zitatolewa chenga na chuya. Kumbuka hizo chenga ndio huuzwa kwa watu wanaotengeeza vitumbua, Sasa ukikutana na watu ambao sio waaminifu wanakuchanganyia hizo chenga kwenye mzigo wako. Ndio maana nikasema ni Bora uende wewe mwenyewe huko Field usiamini mtu. Unaweza kuoneshwa sample ya mchele mzuri utakaouziwa ila huko kwenye magunia mengine siku ukianza kuuza ni majanga watu wamelizwa Sana. Trust No Body.

Kama akijipanga vizuri akinunua Tani moja ya mchele ambayo ni kilo 1,000 ambayo huko huuzwa tsh 1,000 ataweka sokoni 1,000,000.
Ku-Upgrade mchele kwa kilo Mia Ni 7,000 hivyo kwa kilo 1,000 ni jumla ya 70,000... Utanunua magunia 10 ya 1000 kwa kila gunia ili upakie kilo Mia Mia ....

Utapakia kwenye Lori ambapo kwa kila gunia la kilo 100 utalipa 7000 x gunia 10= 70,000
Nakuomba usitumie usafiri wa basi japo Ni haraka ila utakuumiza sana maana gunia la kilo 100 wanatoza 20,000.

Huku Dar mchele unauzwa kuanzia 1700-2000
Sasa hapo toa gharama zako zote utaona utapata faida gani. Ila kwa haraka haraka Katika kilo Tani Moja lazima upige faida ya laki 6-7.

Masoko.

Jitahidi utafute order za maduka ya reja reja. Ulizia Bei zao ucheki na Bei yako Kama itakulipa halafu wape sample ya mchele wako. Pia ndugu jamaaa na marafiki.
 
Mambo yangekua marahisi hivyo ungeshakua milionea wewe mwenyewe,

@Mleta mada,za kuambiwa changanya na zako..

Mchele unatofautiana kuanzia mbegu,upandaji,eneo unapoulima na ardhi husika...

UFAFANUZI:Ref Magugu,Babati

Kuna aina nyingi

Super Kyela:Mzito kwenye mpunga na ukikobolewa,punje ndefu,harufu nzuri,huangalizi maradufu,kipato kizuri

Super Kula na Bwana:Mrefu,harufu,huota muda mfupi,hupungua kidogo @2kg kwenye kila kilo 80 zilizokobolewa

Super Mkomboz:Mzuri,sio mrefu sana kipato kidogo,harufu nzuri sana,haivumilii ukame wala furiko,bua zake nyepesi

Saro:Hizi unatupia ukipanda(yaani ndo kitalu na ndo jaruba),mfupi,hauna harufu,una kipato kwa maana ya uzalishaji,na bei yake ni chini(ndo huo wa 1000/kg alafu mkaupake mafuta(non sense kwa mfanyabiashara serious na anaefanya biashara endelevu).

Super kawaida :Huu ndo wengi tuna ula tukituma wasichana madukani.

Harufu wanayo ongelea sijui ya mafuta,utapaka tani 100?,hiyo harufu si ni ya mchele mzuri ndo mana huo unaopakwa wana "FAKE" ili ufananie na kunukia huo mzuri?

Nasisitiza:
Mchele unatofautiana na upo wenye harufu nzuri naturally
 
Mkuu kwani umilionea ni tsh ngapi si kuanzia milion 1 Sasa Mimi nakosa milion 1!!! .... Nimeongea based on my experience na ndio maana nimemwambia aende mwenyewe field asihadaike na maneno matam ya mtandaoni. Na nilielezea huo utofauti based kwenye Location za upatikanaji wa mchele.

Nimesema kupaka mafuta kwasababu ya mtaji wake wa milion 5 , wewe unaleta mambo ya Tani 1000 mkuu. Milion 5 inanunua Tani 1000. Nilitoa option ya njia hiyo ili akuze mtaji Kama akifikia kuwa na uwezo wa hizo Tani 1000 atatafuta njia nyingine bora. Ila kwa kuanza niliona ni vyema aanze na huo mchele wa kuuzwa elfu 1 ili aweze Ku-Upgrade na kuja kuuza mjini.

Wewe umezungumzia experience yako na uko sahihi. Mimi nimezungumzia experience yangu na ninafanya hivyo. Kama uko tayari njoo nikuuzie mchele mkuu Niko dar kilo 1700 nafanya delivery free.
 
Back
Top Bottom