Wajuzi wa Window 7 msaada

pancho boy

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
4,417
2,000
Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma.
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,139
2,000
Je itakuwaj kama hapo nkipiga window nyingine wakuu
Kama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku fail

Hardware, kama hdd inakaribia kufa au hata kama ukiweka windows upya hiyo kitu itajirudia ndani ya mda mfupi itarudia. Au wkt mwingine kama kuna hardware mpya imekuwa installed.

Software, kama shida ni hii fanya windows upya itakaa sawa.
 
pancho boy

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
4,417
2,000
Kama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku fail

Hardware, kama hdd inakaribia kufa au hata kama ukiweka windows upya hiyo kitu itajirudia ndani ya mda mfupi itarudia. Au wkt mwingine kama kuna hardware mpya imekuwa installed.

Software, kama shida ni hii fanya windows upya itakaa sawa.
Ilikuwa saws pale unapowasha kuna sehemu wameandika launch window repair kuna dogo albonyeza hapo badala ya chini yake start window regular. Ndo shida ikawa hivi
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,424
2,000
jaribu kuboot safe mode,

washa pc kisha shikilia f8 ama bonyeza mara nyingiii f8 mpaka itokeee menu inayokuuliza namna unavyotaka kuboot windows

chagua safe mode,

kama itakubali windows na hio safe mode ukiwa ndani unaweza jaribu haya
1. kurestore pc hadi tarehe ambayo ilikuwa inafanya kazi vizuri
2. kutumia ant virus kama malware bytes na kuscan pc yote.

then zima pc na jaribu kuwasha tena kawaida
 
Acha nijaribu mkuu ntaleta mrejesho
 
COMPTON BLVD

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
515
500
Install Windows 10
Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma
Kwa sasa Microsoft wanasitisha software updates kwa Windows 7,wanashauri watu watumie windows 10, au angalau windows 8.
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
3,265
2,000
Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma.
Weka windows 10 mkuu hiyo window 7 ipo out of date, nahisi wamesha ishutdown
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom