Nawezaje zipata namba za simu nilizohifadhi (save) kwenye yahoo? msaada please

Mti Mtu

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,509
2,000
nilihifadhi namba za jamaa na ndugu kwenye option ya save via yahoo!!

sasa simu niliibiwa, nowa nipo kwenye account yangu ya yahoo... nimetafuta option ya kuona namba nilizokuwa nasave kwa yahoo sijafanikiwa, please msaada
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom