kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,030
- 2,926
Habarini za muda huu, naomba msaada wenu, kwenye ili, nina HDD (Hard Disk Drive) niliitaji kuiwekea password basi siku ya ijumaa saa 3 asubuhi nikafanya ilo zoezi nilifata procedure zote ila ilipoanza kufanya zoezi la kusoma percentage baada ya ku-react password, ilisoma percentage siku nzima, ikabidi niiache mpaka kesho yake ikawa bado haijamaiza, nikaacha mpaka jumapili bado haikuwa imemaliza ila ikawa imeganda kwenye 20% (note: nimekaa siku 3 pasipo kuitoa kwenye computer), mwisho wa siku nikaona niitoe tu.
tatizo lipo hapa: nikiichomeka tena inaendelea kusoma zile parcentage ila haimalizi pia nashindwa ku access data zangu zilizokuwepo, naombeni mtaalamu anayeweka kunisaidia hapa nifanye nini, ikiwezekana sitaki tena hii external HDD iwe na password kabisa, iwe kawaida tu kama mwanzo.