Wadau msaada wenu ninaimani humu nitapata mtanipatia ufumbuzi

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
233
500
Habari za humu wadau,

Poleni na majukumu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 kwa sasa nipo Dar ombi langu kubwa kwenu ni kunipa msaada wa mawazo kwakuwa naomba kazi au kwa mwenye connection ya kazi yeyote ya halali niweze kujikimu kimaisha maana hapa nilipo nipo kwa ndugu tu sina hili wala lile,

ELIMU: uongozi na usimamizi (UDOM UNIVER)
pia taaluma ya COMPUTER APPLICATION,

Naombeni connection ndugu zangu watanzania

PIA SAMAHANI KWA MWANDIKO MBAYA SIMU NINAYOTUMIA INA CRACK MNO KWENYE SCREEN.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,711
2,000
VACANCY ANNOUNCEMENT:

*Translator* Chinese language preferred female
*Welder*
*Electrical Technician*
*Quality Controller*
*Hr Officer* Familiar with labour laws,&excel proficient

QUALIFICATION
-Diploma/Degree in related fields
-1-2years working experience

Interested candidates may send their CV to kedsrecruits@gmail.com before 17:00 hrs 11th June 2020. Or call 0621024241
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,141
2,000
Ni aibu kudai wewe Ni Mhitimu wa Chuo Kikuu Tena Uongozi na Usimamizi. Utamsimamia Nani wewe? Haufai hata kusimamia mifugo shambani kwangu
 
Kigorohe

Senior Member
May 21, 2019
160
250
VACANCY ANNOUNCEMENT:

*Translator* Chinese language preferred female
*Welder*
*Electrical Technician*
*Quality Controller*
*Hr Officer* Familiar with labour laws,&excel proficient

QUALIFICATION
-Diploma/Degree in related fields
-1-2years working experience

Interested candidates may send their CV to kedsrecruits@gmail.com before 17:00 hrs 11th June 2020. Or call 0621024241
Mshana Jr mi hapo kwenye working experience ya miaka 1-2 ndipo nachoka kabsaaa. Asa kwa cc fresh from University nafasi haituhusu!?
 
Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
3,111
2,000
Mshana Jr mi hapo kwenye working experience ya miaka 1-2 ndipo nachoka kabsaaa. Asa kwa cc fresh from University nafasi haituhusu!?
Apply hivyo hivyo maana hamna kazi watasema hawahitaji uzoefu. Ni kujaribu tu mradi qualification unazo baadhi
 
Kigorohe

Senior Member
May 21, 2019
160
250
Apply hivyo hivyo maana hamna kazi watasema hawahitaji uzoefu.
Ni kujaribu tu mradi qualification unazo baadhi
Mi nilikuwa naulizia. Je, naruhusiwa ku apply hata kama bado nipo chuo? Make nipo last semester naomba msaada Kama unafahamu lkn
 
Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
3,111
2,000
Mi nilikuwa naulizia. Je, naruhusiwa ku apply hata kama bado nipo chuo? Make nipo last semester naomba msaada Kama unafahamu lkn
Kwa kazi ambazo zinazotangazwa na zinataka uwe graduate inaweza kua ngumu kidogo maana watahitaji cheti. Ila unaweza kupata ukiomba direct toka baadhi ya ofisi wakikuelewa basi wanakupa mkataba au hata intern.
Wapo waliopata kazi wakiwa bado wanafunzi so jaribu pia.
 
Kigorohe

Senior Member
May 21, 2019
160
250
Kwa kazi ambazo zinazotangazwa na zinataka uwe graduate inaweza kua ngumu kidogo maana watahitaji cheti. Ila unaweza kupata ukiomba direct toka baadhi ya ofisi wakikuelewa basi wanakupa mkataba au hata intern.
Wapo waliopata kazi wakiwa bado wanafunzi so jaribu pia.
Asante kwa msaada
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom