msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mliosoma/mnaosoma clearing and forwading.

    Hello jf. nina imani humu kuna wadau wanasoma au waliwahi kusoma clearing and forwading. naomba msaada wa notes nina shida nazo hasa za First year. Natanguliza shukran
  2. mankachara

    JamiiForums Tanzania Msaada wa samsung smart tv

    Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema. Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi internet. Vilevile ninapojaribu kufungua internet kwenye web browser, mwanzo inafunguka vizuri na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada simu inapata joto

    Habari wakuu, Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto Aina ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kiufundi kuezeka nyumba

    Habari ya mchana wadau wa JamiiForums. Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu, kuna nyumba yenye urefu wa 15m kwa 16m inatakiwa kuezekwa kwa bati za msouth, Gharama yake ya kuezeka inaweza kuwa kiasi gani. Ahsanteni!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu: Msaada tutani ndugu mawakili wasomi

    Jana tarehe 27. 0. 2020 ndugu yetu Tundu Lissu alifanikiwa kurejea salama nyumbani Tanzania. So haba, alipata mapokezi mazuri. Ni hukue fursa hii pia kulipongeza jeshi la polisi kwa kuhakikisha amani itawale muda wote. Aidha naomba tukumbuke kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Hali Halisi...
  6. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Utapeli kama huu ukitapeliwa, utapata msaada wapi au ndio utalala nacho?

    Habari wakuu Mimi mzima kabisa wa afya Natumaini nawe pia huko mzima kabisa, bado Tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu Mpendwa Mh. William B. Mkapa R.I.P 😞🙏 Ipo hivi wakuu, nipo nawaza kitu ambacho kipo ubongoni mwangu nimekifikiria tu ghafla. Ipo hivi Huku Maeneo ninapoishi jina (kapuni)...
  7. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ya wasichana Advanced Level inahitajika haraka

    Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania. Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa, jana nilipigiwa simu na binti wa pale kijijini kwetu kamaliza form 4 akapata DIV III ya 25 bahati...
  8. Eboo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Unawezaje kupata mkopo iwapo uli-discontinue chuo?

    Habari wanajamvi, Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa? Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Msaada nimeongeza memory card nashindwa kupakuwa App

    Naomba msaada wa maelekezo nimeongeza memory kwenye simu yangu lakini ajabu siwezi kudownload app. Memory inayoonekana ni internal storage tu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la picha kujirudia rudia (Multple photos) katika simu

    Habari waungwana, kuna changamoto ya kujirudia rudia kwa picha na ma file mengine katika simu hasa "Audio" na "Video". Msaada : 1. Naomba kujuzwa ni kitu husababisha kujirudia rudia (Multiple) kwa mafile katika simu, yaani audio zinakuwa mbili mbili, au folder za mapicha zinakuwa mbili mbili...
  11. No Escape2

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi nataka Taarifa ya Habari, mbaya zaidi muda wa kipindi ni mmoja! Halafu nimegundua wanaongalia Tamthilia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada hali yangu ishakuwa mbaya

    Habari zenu great thinkers, poleni kwa msiba mkubwa wa kiongozi wetu Mh. Benjamin Mkapa, Mimi ni kijana wenu mtanzania shida yangu kubwa nnaomba msaada kama yoyote anaweza kunisaidia nipate angalau kibarua niweze kujikimu maisha maana nimemaliza chuo level ya diploma tangu 2012. Tangu kipindi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

    Habari zenu wana jamvi, Kwa wenyeji wa Dar naomba Mnisaidie nipande daladala zipi kutoka Buza mpaka mwenge. Mimi ni mgeni kabisa wa jiji.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Mfumo wa Huduma za Afya waelemewa na wagonjwa wa Corona, hospitali za Umma zimejaa

    Taarifa ni kuwa mfumo wa Huduma za Afya nchini Madagascar umeelemewa na wagonjwa, hospitali zote zimejaa wagonjwa, hali ni mbaya. Serikali imeomba msaada wa mashine zaidi ya 1,000 za kupumulia. Hospitali zinapokea wagonjwa mahututi pekee kwa sababu wagonjwa wakejaa. Organic Covid imegonga...
  15. ANTHONY MICHAEL

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri mpenzi wangu amepotea hewani

    Habari za majukumu wana-MMU. Kwa ufupi nipo kwenye mahusiano na binti takribani miezi 5 sasa. Mwanzo mapenzi yalikua mazuri na tulipendana sana na nilijitahidi kutimiza kile alichohitaji kadri ya uwezo wangu. Japo kuna kipindi mawasiliano yalipungua kwake ikawa nisipo mtafuta mimi yeye...
  16. palahingwe

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

    Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
  17. Ashura9

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kutoka RITA Tanzania

    Taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa: RITA Tanzania Kwa mujibu wa sheria unaweza kupata cheti katika Wilaya uliyozaliwa au katika ofisi za Msajili Mkuu, Makao Makuu ya RITA katika jengo jipya la wakala la Rita Tower lililopo Mtaa wa Makunganya maeneo ya posta mpya mkabala na Club Bilcanas, Dar...
  18. Mai-Ndombe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuondoa kidney cyst bila kufanyiwa upasuaji

    Wakuu, Kichwa cha habari kinajieleza,nimekuwa na maumivu kwa muda mrefu ya mbavu upande wa kushoto,juzi nilikwenda hospitali kupima,walinipiga ultrasound na dokta aligundua kuwa kwenye figo yangu ya kushoto kuna kiuvimbe kidogo 2.5cm×2.9cm kinachoitwa kidney cyst. Nilipewa dawa ya kutumia kwa...
  19. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hawala anataka tugawane mali

    Ni muda Wa miaka mitatu sasa umepita tangu tukutane na huyu binti yaani mwaka 2017 akiwa Single mother yaani ameisha zalishwa mtoto mmoja. Tukabebana hapa sokoni bila kwenda kwao tukayajenga tukakubaliana nikamchukua yeye na mtoto wake tukaanza maisha. Alinikuta nina nyumba moja na Kiwanja hivi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Land Rover Discovery 2 TD5

    Wapendwa poleni kwa majukumu Naomba kujua mambo ya msingi kwa gari tajwa hapo juu 1. Ulaji wa mafuta 2. Upatikanaji wa spea 3. Magonjwa ya mara kwa mara 4. Uimara wa gari hasa kwenye bara bara za vumbi Natanguliza shukran
Back
Top Bottom