msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Msaada: free FL Studio for Android

    Wakuu nina shida na FL STUDIO free maana nimeingia playstore ipo ya kulipia 47,000 aliye nayo tuma download link
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

    Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house" Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga...
  3. Huruma siyo malezi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maamuzi ya dunia yanafanya na G7 pekee

    Habari wanajukwaa pendwa, Naomba kuuliza wengi tunajua duniani kuna nchi zaidi ya mia tisini, je ni kigezo gani kilizingatiwa mpaka maamuzi makubwa kidunia kuamuliwa na G 7 pekee? Je, kama wanazingatia uchumi Kwanini hawakuchukua kila bara angalau nchi tatu zenye uchumi wa juu kwa kuunda...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi na nimeshatumia dawa nyingi sana za hospitali lakini bado tatizo liko pale pale. Naomba mnisaidie dawa itakayonisaidia kuondokana na tatizo hili.
  5. Nico1

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye pc wakati wa kuinstall window

    Heshima kwenu nyote wana jukwaa, naomba kufahamu hili tatizo kwenye picha hapo chini kama linavyoonekana kwenye picha linasababishwa na nini na jinsi ya kulitatua. Naomba kuwasilisha kwa yeyote ambaye anaufahamu wa hili tatizo
  6. Kingney

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu chuo cha Ifakara

    Jamani nimechaguliwa chuo cha St Francis Ifakara... Anaekijua au aliesoma au anaesoma aniambie kikoje.
  7. HARAKATI ZOTE

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye akaunti yangu ya Facebook

    KAMA ULISHAWAHI KUKUTANA NA HILI TATIZO KILA UNAPO LOGIN NIAMBIE ULISOLVE VP? ASUBUHI NJEMA
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumpata fundi/gereji wa nissan hard body hapa Dar

    Poleni na Majukumu ya kila siku. Changamoto niliyonayo ni jinsi gani ya kupata fundi/gereji nzuri ya nissan hardbody hapa dar ambayo imepack kama miezi sita.Hapo awali ilikuwa iko poa tu,tatizo niliposafiri hapakuwa na mtu wa kuwa anaiwasha kila siku asubuhi. Naomba mwenye kujua fundi...
  9. Motheroftwo

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakujuzwa kama TAESA kwa mkoa wa Kilimanjaro ipo na inapatikana maeneo gani

    Ndugu zanguni naombeni msaada mnijuze TAESA kwa Kilimanjaro kama ipo na iko maeneo gani na mimi niende nikapeleke huko vyeti huku mambo mengine ya kupambana kutafuta ajira sehemu mbalimbali yakiendelea.
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Trump aweka wazi "Hata uwe hali gani bado unahitaji msaada wa bosi ambae ni Yesu"

    Hakuna rais anaechezewa Rafu mbaya sana kama Trump, Ila cha kushangaza ni Kwamba Rais huyu huibuka kidedea na kuwaacha wengi midomo wazi ni vipi na kawezaje kuhimili mishale mingi kiasi hiki. Siri ni Moja Tu, Trump Anamtanguliza sana mungu ambae ni Mwema mwenye rehema, Asiepatwa na usingizi waa...
  11. CHE GUEVARA-II

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    Habari za jioni wadau? Naomba msaada wa kujua total overtime, gross na net salary ya mtu (KWA MWEZI), kwa mwenye basic salary ya 2,192,540 Tshs anayolipwa kwa kufanya saa 45 kwa wiki moja, i.e Mon-Fri (08:00-17:00) na Sat (08:00-13:00). Lakini akatakiwa kufanya na overtime ya kila siku kwa 12...
  12. School face

    JamiiForums Tanzania Msaada nasumbuliwa na jino

    Habari wana Jf kama mada inavyo jieleza hapo juu nimekua nasumbuliwa na meno hasa haya magego kiasi kwamba nikinywa kitu cha baridi nasikia yanauma na mda mwingine upepo ukiingia mdomoni tu nasikia yanauma na yakiambatana na kichwa kugonga sana
  13. Mbunifu Mwaminifu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kwa mfanyakazi ambae mkataba wake umesitishwa bila notice ya mwezi mmoja lakini amelipwa mshahara wa mwezi mmoja zaidi

    Habari zenu wanajamvi. Naulizia ili kufahamu kwa niaba ya rafiki yangu. Rafiki yangu alikuwa ni mfanyakazi wa kampuni fulani hapa jijini Dar es Salaam na alikuwa akifanya kazi na hiyo kampuni kwa takriban miaka mitano. Kwa kawaida kampuni ambayo alikuwa akifanya nayo kazi ilikuwa inawapatia...
  14. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wa kumtahiri mtoto

    Habari wa JF Nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua hospitali nzuri kwa kutahiri watoto anijuze
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada, hospitali gani wanaondoa makovu

    Habari jamani hivi kwa dar es salaam hospital gani wanaondoa makovu yaliyosababishwa na moto.
  16. mshamba_255

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni na ushauri kuhusu Range rover classic

    Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version...
  17. Tanki

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

    Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50 Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa...
  18. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Msaada nahisi ana mimba naombeni ufafanuzi katika hili

    Salaam sana wakuu, Kama wiki mbili zilizopita nilienda kumpima wife ujauzito ambapo majibu yalikua ni U.P.T negative na akachomwa sindano ya kuzuia mimba ila sasa napata mashaka. Ishu ni kwamba haoni siku zake na kwa kawaida ilitakiwa awe ameziona . Pili amekua akiniagiza vitu hususan soda na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kati ya subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis ya 2007

    Wakubwa naitaji kumiliki gari moja wapo kati ya hizi Subaru Forester ya 2005 na Nissan Dualis 2007 je, Ipi inanifaa zaidi ikizingatiwa ndo mara ya kwanza kutaka kumiliki gari? Nilitaka kujua kuhusu ubora ,gharama ya vifaa Subaru Forester 2005 Nissan Dualis 2007
  20. IAfrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaanza kutoa msaada kwa Mozambique baada ya watu 300,000 kuyahama makazi yako kufuatia mashambulio ya kigaidi

    Kenya imetoa msaada wa vyakula na madawa kwa zaidi ya watu 300,000 Mozambique waliofurushwa kutokana na vita vya kigaidi vya kundi la Ansar al-Sunna. Anyway kila mtu akichangia watapata usaidizi kwenye janga hili
Back
Top Bottom