Inawezekana aliyekulia Bara kupata kitambulisho cha Mzanzibari?

Mafanikio 07

Member
Jun 18, 2019
57
36
Habari!

Naomba kupata msaada wa kisheria kuwa inawezekana mtu aliekulia Tanzania bara na akawa na vyeti vya kuzaliwa Pamoja na ambavyo vinaonesha ni wa Tanzania bara(Kitambulisho Cha utaifa) kuwa anaweza kupata kitambulisho cha mzanzibari?

Bila kusahau cheti cha kuzaliwa cha Zanzibar alipozaliwa anacho.

Msaada wa kimawazo.
 
Mimi nimezaliwa Bara, wazazi wangu hawana hasili ya Zanzibar lakini nimepata kitambulisho cha Zanzibar Mkazi na kwetu Rufiji
 
Haiwezekani, watanganyika hamna haki hiyo hapa Zanzibar.
Acha Maringo wewe Zanzibar kuna kitu gani cha pekee. Watu wengi wanavitambulisho hivyo hivi sasa. Ndio maana kile kinaitwa mzanzibar mkaazi . Maana mtu yeyote anayeishi Zanzibar
 
Back
Top Bottom