msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kwa tukio la ajali hii

    Habari wana JF, Naomba msaada kueleweshwa juu ya jambo hili kuna ajali iliyo husisha bajaji 2 za kubeba abiria moja ikiwa inatokea upande A na nyingine upande B, zilipokuwa zimesogeleana kupishana iliyo kuwa ikitoka upande B ikapata ajali ya kugonga punda na kumrusha mpaka upande wa pili wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nina degree ya uchumi, naombeni msaada nipate kazi au intern

    Habarini za wakati; Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au...
  4. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Msaada please: Nahitaji title unique ya project

    Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique. Sababu Kuna system nying...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya kazi za migodini

    Habari zenu wanajamvi..! Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika kada ya uchimanji madini (BsC in Mining Engineering) . Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika migodi anisaidie. Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant . Pia nina leseni ya...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Msaada kucheck TIN number yangu online

    Nime-misplace Leseni yangu sasa nataka nipate TIN bila kwenye ofisi za TRA Je, inawezekana?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupunguza kitambi

    Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
  8. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Aliexpress

    Niliagiza kifaa fulani huko Aliexpress 10/10/2020. Niliambiwa nitarajie kupata kifaa hicho kati ya Novemba 2-Desemba 2. Mpaka sasa naona kimya. Uliwahi kuwa katika hali hii? Ulifanyaje?
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hizi movie

    Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote, Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu nini ndani ili niweze zipakua nikazicheck, maana nimekuja huko mjandala mara hizo mbili kama ya Tenet...
  10. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada: "Sign in network" inanikera

    Wadau wa JF tech habarini za asubuhi, bila kupoteza muda na kwa ufupi naomba kuaddress swala langu, e bhana ee kila nikiwasha data kwenye simu yangu inakuja hii notification "sign in to network" inanikera sana, nimejaribu kwenda ku-mute notification kwenye android system lakini naambiwa kwa hiyo...
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali hapa

    Wakuu habari zenu? Naomba kusaidiwa hapa kidogo maana nimeshindwa, ipo hivi nime update Google play music ndo mara nyingi nilikuwa naskilizia music nikishapakua online, ila baada ya update imekuja haitaki kuplay inaniandikia vitu ata sielewi tatizo lugha shida baba na kila nikibonyeza...
  12. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu barua ya kazi

    Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Watalaam wauchumi msaada wenu tafadhari

    Habari wakubwa, Kuna paper naitafuta nisaidieni kuipata hii paper CHINA'S INDUSTRIAL POLICY AND CORPORATE TECHNOLOGICAL INNOVATION Does Industrial Policy Play an Important Role in Enterprise Innovation?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota Spacio v/s Toyota Wish ipi itanifaa

    Wakuu nami nataka kumiliki usafiri wangu kwa mara ya kwanza kwa matumizi ya kawaida ya kifamilia, route za mikoani mara moja moja Dar - Kahama au Dar - Mbinga. Je ipi itanifaa zaidi kati Toyota Spacio au Toyota Wish interms of space, comfortability, fuel consumption na changamoto nyingine...
  15. Billions dealer

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti kati ya Visa na Passport?

    Ni nini tofauti Kati ya VISA na PASSPORT? Je, mtu mmoja anaweza kumiliki passport zaidi ya moja? Je, mtu mmoja anaweza kumiliki Visa zaidi ya moja? Je, inawezekana mtu mmoja akamiliki passport na visa?
  16. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwana JF ambaye yuko Nairobi

    Naomba msaada kwa mwana JF yoyote ambae yuko Nairobi Kuna marafiki zangu wanatoka US wanataka kukaa Nairobi for 1 week. Sasa wanataka hotel au lodge ambayo ni safe kwao. Msaada ambao naomba ni kama kuna mwana JF ambaye yuko Nairobi na anaweza kurecomand any hotel au lodge ambayo ni mzuri na...
  17. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  18. hiram

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nabonyeza wapi? Kukata rufaa ya mkopo bodi

    Nipo hapa najaribu kukata rufaa lakini sijui unabonyeza wapi hebu nisaidieni.
  19. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

    Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo? Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....' Gharama za...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa iphone msaada tafadhali

    Nina iphone 8 nimenunua kwa jamaa yangu yupo mbele na alisahau kufuta icloud acc, naomba msaada ufuatao Iphone naitumia lakini ina Apple acc ya mshkaji.....kuna mambo siwezi fanya bila password ya icloud. Inawezekana mshkaji akaingi kwenye acc yake ya icloud online kwenye itunes au website na...
Back
Top Bottom