Je, ni wapi salama kuweka vitu kwenye disc gani kwenye laptop?

Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,847
2,000
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c. Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?

Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop, ila nikaambiwa ni hatari.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,172
2,000
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c .
Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?

Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop ..ila nikaambiwa ni hatari ..

Tafuta external mpya save alafu hiyo utumie kwa zalula tu.itakopokuwa unataka matumizi ila uqe nazo mbili
 
Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,847
2,000
Tafuta external mpya save alafu hiyo utumie kwa zalula tu.itakopokuwa unataka matumizi ila uqe nazo mbili
Sawa ila pia unanshauri nivirudishe vitu pale kwenye folder la desktop ama hapo kwenye disk c?
 
HDMI

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
562
1,000
Sawa kwahiyo hta nilipokuwa nimeziweka mwanzo ni nako hatari?
Desktop ni part ya Local Disc C. Hauko salama. Kwa kifupi kuweka sensitive files kwenye computer hakuna usalama. Pambana na cloud storage. Mbona free kabisa. Bando lako tu
 
Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,847
2,000
Desktop ni part ya Local Disc C. Hauko salama. Kwa kifupi kuweka sensitive files kwenye computer hakuna usalama. Pambana na cloud storage. Mbona free kabisa. Bando lako tu
Acha nijaribu mkuu google drive mpka nii install ama online?
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,172
2,000
Sawa ila pia unanshauri nivirudishe vitu pale kwenye folder la desktop ama hapo kwenye disk c?

IMG_2862.jpg

Nunua hiyo kama unaona comment nyingi
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
659
1,000
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c .
Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?

Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop ..ila nikaambiwa ni hatari ..
Hata ukiweka kwenye C na windows ika corrupt, ukija kuweka windows upya bila kuformat vitu vyako itavikuta kwenye windows old. Partition ya pili sio muhim ila wengi wanafanya hvyo ili kupangilia vitu
 
Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,847
2,000
Hata ukiweka kwenye C na windows ika corrupt, ukija kuweka windows upya bila kuformat vitu vyako itavikuta kwenye windows old. Partition ya pili sio muhim ila wengi wanafanya hvyo ili kupangilia vitu
Partition ni nini?
 
polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
821
1,000
Acha nijaribu mkuu google drive mpka nii install ama online?
Weka kwenye local drive D kama pc yako ina partitions mbili angalau utakuwa salama kuliko kiweka kwenye desktop au local c maana desktop ipo ndani ya local c

Ukiweka kwenye d hata windows iko corrupt waka format local C data zao kwenye D zitakuwa salama

Njia nyingine ambayo ina gharama ni kusave kwenye google drive ai dropbox nk. Ingawa kama una ma file makubwa unatakiwa uwe na data ya kutoshakuzi upload.
 
Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,847
2,000
Weka kwenye local drive D kama pc yako ina partitions mbili angalau utakuwa salama kuliko kiweka kwenye desktop au local c maana desktop ipo ndani ya local c

Ukiweka kwenye d hata windows iko corrupt waka format local C data zao kwenye D zitakuwa salama

Njia nyingine ambayo ina gharama ni kusave kwenye google drive ai dropbox nk. Ingawa kama una ma file makubwa unatakiwa uwe na data ya kutoshakuzi upload.
Bab kubwa
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,935
2,000
Ushauri:

Weka partition zinasaidia sana.
Pia uwe na cloud back kwa vitu ambavyo ni very very sensitive (hii ni lazima)
Pia kuwa na back up ya Extenal HDD.

Back up zinatakiwa ziwe 3 iwapi una mpunga
Onsite offline backup
Offsite offline backup
Online cloud backup (gdrive, onedrive etc.)
Ila mara nyingi hii ni kwa wenye pesa na makampuni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom