Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

Binafsi nimekuwa nikitumia DAX KOCATAH above everything else yana coconut oil na tar oil .Yanaondoa tatizo la mba na kutibu tatizo la dry scalp .
Pia weusi wake hufanya nywele zionekane nyeusi zaidi na zenye afya .
 
Mkuu mi nilikuwa na nywele kipilipili ila baada ya kuanza kutumia BLUE MAGIC ORIGINAL Indian hemp mambo ni mswano kabisa
 
Back
Top Bottom