Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya kifua kwa u jumla.
Tumia kitunguu muda wowote ule, kama unakohoa sana weka vipande vya vitunguu ndani...
Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana
Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara.
Thanks
Wasalaam wana JF
Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu...
Habari za wakati huu wapendwa,
Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo.
Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila tulivoulizia gharama za kujifungua tumeambiwa zinaweza kufikia hadi millioni6 au 7 in case kama kuna...
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada...
Wakuu,
Habari ya kazi. Nilikuwa Bugando kwa ajili ya kufanyiwa kipimo kinachoitwa endoscopy. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
Esophagus MILD DISTAL OESOPHAGISI 2/HIATAL HERNIA
Stomach - HIATAL HERNIA
Duodenum NORMAL
Final Diagnosis - GERD 2 HIATAL HERNIA
Sasa WIKI IJAYO...
Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz.
Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama). Mimi ni mtumishi niko kwenye NGO moja hapa kwetu (Tanzania). Note: Nina watoto...
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.
Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya...
Habari samahani naomba kuuliza kwa mtu anae elewa hili swala kama mtu umeahidiwa mkataba na boss na hataki kutoa mwisho wa siku zaidi ya mwaka hujapewa mkataba na unapewa posho tu napo akijisikia hivi swala kama hili wapi naweza toa lalamiko na nikasaidiwa kisheria.
Wakuu kuna app ya kufanya manunuzi ambayo mtu ata deposit pesa alafu anaifanyia manunuzi kama ilivyo app za sport betting mtu anaoder bidhaa na pesa inakatwa pale kwenye wallet yake ?
Mwenye anajua uwezekano wake na budget yake ipoje MSAADA TAFADHARI
Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza?
Wawa
Onyango
Chama
Bwalya
Luis
Kahata
Kagere
Mugalu
Morrison
Lwanga
Chikwende
Heri ya Mwaka Mpya.
Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,
Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza
Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari...
Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo...
Wadau habari za asubuhi,
Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia...
Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM
Natanguliza shukrani.
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa. Nisiyemfaa, mjinga, bwege na fala.
Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.