Jamani nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM

Loryn Paul

New Member
Dec 14, 2020
2
20
Kama nlivoanza hapo juu nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM au chuo chochote. Ni kuhusu course yangu ya Bachelor of art in language nahitaji kufanya online registration na sielewi nfanye chaguo kwa ktk linguistic na English lang au linguistic na kiswahili? Naomben msaada ushaur wenu n wa muhimu pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom