Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia.
Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
Niko 'frustrated' naomba mniwie radhi kama uandishi na mpangilio wa hoja yangu utashindwa kueleweka kwenu.
Ni hivi,
Mimi pamoja na kaka yangu mkubwa tumbo moja na baba tulikuwa tukiishi vizuri lakini uhusiano wetu ulianza kuingia doa baada ya mzee wetu kufariki.
Baada ya mzee kufariki...
Habari za kwenu Wana jf?
Msaada tafadhali wa wimbo wa dini jina linaitwa "Unitume Mimi" yani Wanaume kwenye huu wimbo wanaimba kwa sauti kubwa sana harafu ina beat ni hatari,
Shida ni ninapo search nakuta nyimbo zingine pia zina jina hilo hilo la Unitume Mimi ila sijajua ni kwaya gani...
Habari za wakati huu waungwana?
Naomba muongozo na ushauri kwa ajili ya jamaa yangu anahitaji kuuza miti yake ya pine iliyopo kwenye shamba la ukubwa wa hekari moja na ina umri wa miaka 5.
Muongozo anaohitaji ni juu ya estimation ya price range yaani anaweza pata bei gani hapo na kama...
Habari!
Naomba kupata msaada wa kisheria kuwa inawezekana mtu aliekulia Tanzania bara na akawa na vyeti vya kuzaliwa Pamoja na ambavyo vinaonesha ni wa Tanzania bara(Kitambulisho Cha utaifa) kuwa anaweza kupata kitambulisho cha mzanzibari?
Bila kusahau cheti cha kuzaliwa cha Zanzibar...
Habari watu wa JF
Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile akisema uko na siku 31. Sasa nakua dilemma which is which.
Pia katika kupitia siku hizo za Mzunguko wa...
Habari wadau...natafuta housing ya computer aina ya Lenovo y50_70 touch..mfuniko wa nyuma na sehemu ya keyboard..au Kama scraper ipo yenye spare parts tuongee biashara pesa ya mfuko wa shati, 0717179040
Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour.
Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
Jamani hii ni wiki ya pili sasa najaribu kuwatafuta mawakala wa soda za Pepsi nashindwa kuwapata
Naitaji soda cret Mia moja,
Kila ninavyojaribu kupiga kwa namba zao ambazo ziko mitandaoni huwa zinaita tu bila kupokelewa
Naomba msaa kwa yeyote ambae anajua naweza kuwapata vipi hawa jamaa na...
Jamani dunia inamajaribu kila ukijaribu kujikwamua kinaibuka kikwazo ufeli, Kunguru wanafukua mahindi yanayoanza kuota, wamekula shamba zima.
Mwaka Jana panya walikagua kula mstari na kula mahindi yote niliopanda.Msaaada wa kuwadhibiti hawa viumbe.
Panya nilijaribu kumwaga mahindi ya sumu...
Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c. Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe?
Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop, ila nikaambiwa ni hatari.
Habari wana JF,
Naomba msaada kueleweshwa juu ya jambo hili kuna ajali iliyo husisha bajaji 2 za kubeba abiria moja ikiwa inatokea upande A na nyingine upande B, zilipokuwa zimesogeleana kupishana iliyo kuwa ikitoka upande B ikapata ajali ya kugonga punda na kumrusha mpaka upande wa pili wa...
Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi.
Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
Habarini za wakati;
Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au intern ila imekuwa shida kupata, naombeni msaada wenu kwa yoyote atakayeweza nisaidia kupata kazi au...
Kama ilivyo desturi kwa wanafunz wa 3rd year kwa upand wa Bsc compt science and IT kufanya final project, nilikuw naomb mnisaadie title unique nayowez kutengeza system or Android app inayowez kusolve challenge mbal mbl kweny jamii yet ,nimekuja kwn kupata kit unique.
Sababu Kuna system nying...
Habari zenu wanajamvi..!
Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika kada ya uchimanji madini (BsC in Mining Engineering) .
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi katika migodi anisaidie.
Nina uzoefu katika usimamiaji wa crusher na plant .
Pia nina leseni ya...
Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.