msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bin Shaib

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaotumia WhatsApp

    Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha. Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo nilimtumia mtu zikagoma kuna maneno haya hapa chini inaandika na mimi sijajua tatizo ni nini,,kuna audio...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Biometric attendance

    Wakuu habari, Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
  4. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye viwanja mjini DAR, ninahitaji kununua eneo

    Ndugu zangu maisha haya kuna wakati inatakiwa mtu ukubali tu kuna waliokutangulia na ujishushe uombe msaada wao na ndicho ninachokifanya hapa kwenu ndugu zangu, nimejitahidi katika kuhangaika na maisha huku na kule vibarua na viajira nimepata kiasi cha 1M nimekuja kwenu ndugu zangu wenye viwanja...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Sheria 2020/2021 naomba msaada nipate ajira/kujitolea

    Habari ndugu zangu. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu kimoja hapa Tanzania mwaka 2020/2021. Nipo mtaani kwa sasa lakini hari imekuwa ngumu sana kwani sijapata sehemu ya kujitolea au ajira ila nipate kulipa baadhi ya bills zinazonikabili. Nimekuja kwenu ndugu zangu...
  6. emanuel joseph

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Ku Unlock Router Vodafone r207-z

    Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  7. Shobi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wako natafuta kazi Bsc Computer Science

    thread closed
  8. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Naomba msaada wakuu Najaribu kuingia kwenye account ya HESLB lakini inagoma, ni tatizo la wengi au ni miimi pekee.
  9. Lady Ra

    JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu Kusoma CPA

    Kwema Ndugu Zangu? Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine majukumu mapya zaid katika fani hiihii ya Uhasibu. Nilichopanga ni kusoma CPA. Sasa msaada naouhitaji ni...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Jean Baptiste Bhokasa ilipokosa pesa ya kujiendesha alipata msaada wenye masharti kutoka kwa Gaddafi

    Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon. Bhokassa alikua mfujaji sana wa pesa, aliishi maisha ya anasa sana. Wapinzani wake waliuliwa kama kuku.. Alipoamua...
  11. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi au kujitolea ya Assistance accountant

    Habari wana jamvi. Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu. Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania...
  12. JZHOELO

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nina cheti cha IT, natafuta kazi

    Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
  14. kilama

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA PC YANGU

    Wakuu habari za Jumapili! Naombeni msaada wenu pc yangu niliifungua kwa ajili ya kuisafisha, baada ya kuifunga kila ninapoiwasha inatoa ujumbe YOUR PC RAN INTO A PROBLEM AND NEEDS TO RESTART. Nimejaribu kila namna had kureset window bila mafanikio.
  15. Baba Nla

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya simu na gazeti lolote la Tanzania

    Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia. Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
  16. luofe

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi yaku cancel admission UDOM

    Wakuu, nilitumia mtu kuomba chuo second round, akakosea kozi ya kwanza nliyompa na nimechaguliwa hiyo hiyo hapo udom. Nimejaribu ku cancel pale inagoma. ..msaada wa namna bora yaku cancel ili niombe upya
  17. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutambua kuwa unamultiple selections

    Niliomba vyuo viwili Must na Marian unversity,Marian wamenchagua ila Must wako kimya!!! Mwenye uelewa aniambie jins ya kutambua kama nna multiple selection ili nijue. karibun
  18. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu ada za Marian Unversity College, msaada tafadhali

    Kwa mtu mwenye uelewa juu ya hilo naomba ansaidie. Nimechaguliwa pale kwenda kupga Bachelor of Science with Education, naomba anaejua ada ya hii course kwenye hiki chuo ansaidie!!! Karibuni wadau
  19. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Msaada: free FL Studio for Android

    Wakuu nina shida na FL STUDIO free maana nimeingia playstore ipo ya kulipia 47,000 aliye nayo tuma download link
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

    Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house" Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga...
Back
Top Bottom