Wakuu msaada wenu kuhusu ujenzi, nimekwama kwenye kuchimba choo kuna maji nifanyeje?

Grand Canyon

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
456
920
Nimefikia stage ya kuchimba choo lakini maji yako karibu ft 4. Na ni maji mengi , je nisimamishe ujenzi wa choo mpaka kiangazi au kuna njia mbadala?

Mbona sasa nakwama kuhamia kwangu jamani?

Location: Mwanza

Msaada Please.
 
Nimefikia stage ya kuchimba choo lakini maji yako karibu ft 4. Na ni maji mengi , je nisimamishe ujenzi wa choo mpaka kiangazi au kuna njia mbadala? Mbona sasa nakwama kuhamia kwangu jamani? Location: Mwanza
Msaada Please.
Kiangazi bab subir halaf ukija ukijenga hakikisha congrit ya maana kule ndani ya shimo
 
Wakuu na mim naombeni msaada wa bei ya kuchimbiwa septic tank ft 10 kwa mazingira ya mwanza ni kiasi gani?
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Mkuu mm naona hilo shimo liboreshe kiwe kisima cha maji, halafu angalia eneo jingine uchimbe choo kabla ya kuchimba tafuta mtu mwenye ujuzi apime kama kuna uwezekano wa kuwepo na maji.
 
Jenga ivo ivo. Japo kuna maji, shimo halitakaa lijae endapo utakuwa na matumizi ya kawaida. Cha muhimu fanya shimo kuwa pana kidogo na litokeze usawa wa nusu mita juu ya ardhi. Maji yatapanda na kushuka kulingana na water table.
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Bei nzuri sema tu niko mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom