Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam

Kweli kabisa maana unapata apps ambazo ziko customized na optimized kufanya kazi na ipads, tatizo la android kutokana na utitiri wa manufacturers, unakuta zie apps za simu ndizo zinakuwa stretched ziwe za tablet
Tablet za Samsung kwa Sasa zina dex mode, Hakuna ku stretch una resize unavyotaka mwenye. Anglia reviews za tab S7 plus, pengine best non proffesional tablet on market kwa Sasa.
 
Niliona sijui kwa whosethebose sijui kwa mkbhd sikumbuki alikuwa anaireview akaisifia sana
 
Kwasasa ipad ndo ipo vzr sijui unataka ipi wewe
Kweli kabisa maana unapata apps ambazo ziko customized na optimized kufanya kazi na ipads, tatizo la android kutokana na utitiri wa manufacturers, unakuta zie apps za simu ndizo zinakuwa stretched ziwe za tablet
Nahitaji tablets za android, Kuna program ninayoitumia bado hawajaiweka kwenye iOS.
 
Nahisi nikipata yoyote itakua sawa tu.
Kama ni matumizi ya kawaida tu unaweza agizishia online Amazon fire HD, huwa Mara kwa Mara zinashuka bei around $40 mpaka 80 hivi, pengine mpaka inakufikia mkononi ikawa around laki 2 mpaka 3 na nusu.

Ni tablet nzuri matumizi ya kawaida, weakness yake kubwa ni 32bit kuna baadhi ya games na app kubwa haziingii.

Kwa Samsung mpya ni Tab A ya 2019 Sema ni low end Sanaa. Uzuri wake ni 4g tab.

Hii kibongo bongo ni chini ya laki 4.

Alternative nyengine ni kununua used unapata iPad mini, iPad za kawaida, tab s series etc
 
Alternative nyengine ni kununua used unapata iPad mini, iPad za kawaida, tab s series

Kama ni matumizi ya kawaida tu unaweza agizishia online Amazon fire HD, huwa Mara kwa Mara zinashuka bei around $40 mpaka 80 hivi, pengine mpaka inakufikia mkononi ikawa around laki 2 mpaka 3 na nusu.

Ni tablet nzuri matumizi ya kawaida, weakness yake kubwa ni 32bit kuna baadhi ya games na app kubwa haziingii.

Kwa Samsung mpya ni Tab A ya 2019 Sema ni low end Sanaa. Uzuri wake ni 4g tab.

Hii kibongo bongo ni chini ya laki 4.

Alternative nyengine ni kununua used unapata iPad mini, iPad za kawaida, tab s series etc
Asante mkuu. Lakin nilichogundua ni kwamba tablets nzuri ni zile za kuanzia 1M. Nimejaribu kuaziangalia hizo lakini hazijanivutia kabisa.
 
Ni kweli mkuu, pia Huawei nabrand alioiuza ya Honor Wana decent tablet pamoja na xiaomi.

MI Tab 4 ina SD 660 ni cpu nzuri kwa hii budget

Mediapad 5 lite ina kirin 710 pia ni nzuri
 
Nashukuru kwa muongozo.
 
Kama ni matumizi ya kawaida tu unaweza agizishia online Amazon fire HD, huwa Mara kwa Mara zinashuka bei around $40 mpaka 80 hivi, pengine mpaka inakufikia mkononi ikawa around laki 2 mpaka 3 na nusu.

Ni tablet nzuri matumizi ya kawaida, weakness yake kubwa ni 32bit kuna baadhi ya games na app kubwa haziingii.

Kwa Samsung mpya ni Tab A ya 2019 Sema ni low end Sanaa. Uzuri wake ni 4g tab.

Hii kibongo bongo ni chini ya laki 4.

Alternative nyengine ni kununua used unapata iPad mini, iPad za kawaida, tab s series etc

Hivi @Chief-Mkwawa kwann tabs nyingi huwa zina specs ndogo kwa upande wa SoC, GPU, Rram, Camera, Resolution ya kioo. issue huwa nn
 
Sababu soko lake limeshafeli, Hakuna hela. Sema kwa ambao wapo sokoni bado kama Samsung, Apple na Amazon wanaweka specs kali kwa bei rahisi.

Mfano
-iPad mpya inakuja na A13 soc kwa bei ya $300, simu rahisi yenye A13 ni iPhone se inayouzwa $400. Pia base model ni 64/4Gb.

-amazon fire 10 HD inayouzwa hadi $80 ina full HD display, cortexA72 cores na mambo mengi ambayo huyapati kwenye simu.

-pia Tab S7 uki compare na S20 ama note 20 ni rahisi zaidi wakati zinakupa values kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom