Msaada ugonjwa wa kuku

seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
482
500
Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi
Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo.

Ni kifaranga chotara.
IMG_20201223_113225.jpg
IMG_20201223_113230.jpg
IMG_20201223_113208.jpg
 
EZZ CHEZZ

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,245
2,000
Kwa dalili hizo hiyo bila shaka ni Newcastle aka mdondo aka kideri. Wape mchanganiko wa O.T.C 50% na Tylodox (ya Uingereza ndiyo nzuri zaidi).
 
seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
482
500
Kwa dalili hizo hiyo bila shaka ni Newcastle aka mdondo aka kideri. Wape mchanganiko wa O.T.C 50% na Tylodox (ya Uingereza ndiyo nzuri zaidi).
Lakini wana chanjo mkuu kuna mtu ameniambia ni typhoid kutokana na kinyesi chao inawezeiana mkuu?
Lakini ntafanya na ulichoniam ia
 
EZZ CHEZZ

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,245
2,000
Lakini wana chanjo mkuu kuna mtu ameniambia ni typhoid kutokana na kinyesi chao inawezeiana mkuu?
Lakini ntafanya na ulichoniam ia
Hapo kwenye kugeuza shingo ndiyo tatizo mkuu. Pia chanjo za Newcastle na Gumboro zile za kuchanganya kwenye maji yakupasa kuwa makini.

Dose 100 = Maji lita 2.5 mwisho 3

Dose 500 = lita 10

Dose 1000 = lita 20
 
seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
482
500
Hapo kwenye kugeuza shingo ndiyo tatizo mkuu. Pia chanjo za Newcastle na Gumboro zile za kuchanganya kwenye maji yakupasa kuwa makini.

Dose 100 = Maji lita 2.5 mwisho 3

Dose 500 = lita 10

Dose 1000 = lita 20
Nimepoteza wawili tyar,nimewaanzishia dawa ya typhoid waliobaki wako vizuri huyo niliewaonesha picha kafa juz na mwingine kafa jana hakuna mwingine bandani mwenye dalili kama hizo tena..so far nashukuru kidogo maana nilikua nawaza sana kama ni mdondo na chanjo haikufaa bas ningepoteza wengi maana wanakaa 85 kwenye banda moja.
Niliwapa chanjo ya mdondo ya jicho na ya gumboro ya maji.
 
EZZ CHEZZ

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,245
2,000
Nimepoteza wawili tyar,nimewaanzishia dawa ya typhoid waliobaki wako vizuri huyo niliewaonesha picha kafa juz na mwingine kafa jana hakuna mwingine bandani mwenye dalili kama hizo tena..so far nashukuru kidogo maana nilikua nawaza sana kama ni mdondo na chanjo haikufaa bas ningepoteza wengi maana wanakaa 85 kwenye banda moja.
Niliwapa chanjo ya mdondo ya jicho na ya gumboro ya maji.
Uko sahihi mkuu. Kwa mdondo kuku wadogo kama hao vifo huwa takriban 50%. Pia chanjo ya matone huwa ni uhakika. Sasa hapo zingatia usafi wa maji na vyombo vyake. Pia usafi wa banda.
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,787
2,000
Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi
Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo.

Ni kifaranga chotara.
View attachment 1658278 View attachment 1658280 View attachment 1658282
Dalili za mdondo ni uharo wenye kijani,na kama bahati mbaya itakutokea wachinje kwani mdondo ni virusi hauna tiba,ikibidi tumia mchanganyiko wa aloe vera na muarubaini huwa inatibu.Mimi huwa naongeza na majani ya mlonge pia huwa inasaidia.Jitahidi wapatie chanjo ya newcastle ili kuzuia mdondo.

Uharo mweupe hio ni salmonella sio mdondo.Intertrim ni dawa inayofanyavizuri Sana kwenye salmonella.Hivyo huyo kuku wako ana salmonella sio mdondo.Madawa mengi yenye salfa kwa wingi ni mazuri sana kwa tyfod ya kuku.
Angalizo,Mimi si dakfari ila ni mfugaji mzoefu.
 
Shukran boss alikuja mtaalamu hakua tofauti na wewe unachosema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom