msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Watalaam wauchumi msaada wenu tafadhari

    Habari wakubwa, Kuna paper naitafuta nisaidieni kuipata hii paper CHINA'S INDUSTRIAL POLICY AND CORPORATE TECHNOLOGICAL INNOVATION Does Industrial Policy Play an Important Role in Enterprise Innovation?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota Spacio v/s Toyota Wish ipi itanifaa

    Wakuu nami nataka kumiliki usafiri wangu kwa mara ya kwanza kwa matumizi ya kawaida ya kifamilia, route za mikoani mara moja moja Dar - Kahama au Dar - Mbinga. Je ipi itanifaa zaidi kati Toyota Spacio au Toyota Wish interms of space, comfortability, fuel consumption na changamoto nyingine...
  3. Billions dealer

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti kati ya Visa na Passport?

    Ni nini tofauti Kati ya VISA na PASSPORT? Je, mtu mmoja anaweza kumiliki passport zaidi ya moja? Je, mtu mmoja anaweza kumiliki Visa zaidi ya moja? Je, inawezekana mtu mmoja akamiliki passport na visa?
  4. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwana JF ambaye yuko Nairobi

    Naomba msaada kwa mwana JF yoyote ambae yuko Nairobi Kuna marafiki zangu wanatoka US wanataka kukaa Nairobi for 1 week. Sasa wanataka hotel au lodge ambayo ni safe kwao. Msaada ambao naomba ni kama kuna mwana JF ambaye yuko Nairobi na anaweza kurecomand any hotel au lodge ambayo ni mzuri na...
  5. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  6. hiram

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nabonyeza wapi? Kukata rufaa ya mkopo bodi

    Nipo hapa najaribu kukata rufaa lakini sijui unabonyeza wapi hebu nisaidieni.
  7. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

    Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo? Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....' Gharama za...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa iphone msaada tafadhali

    Nina iphone 8 nimenunua kwa jamaa yangu yupo mbele na alisahau kufuta icloud acc, naomba msaada ufuatao Iphone naitumia lakini ina Apple acc ya mshkaji.....kuna mambo siwezi fanya bila password ya icloud. Inawezekana mshkaji akaingi kwenye acc yake ya icloud online kwenye itunes au website na...
  9. albab

    JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwenu wakuu

    Wadau heshima yenu. Kwa ufupi mwakani nataka nianze ujenzi ila bado napata ukakasi kuhusu haya yafuatayo. 1. Nitumie tofali za kuchoma (hapa nimepanga kujengea tope joint zikiwa ndogo saanaaa kwa haraka ukiangalia unaweza sema tofali zimepangwa tu) 2. Nitumie tofali za kupanga ("interlocking...
  10. Mr simple M

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu unahitajika hapa wakuu

    Hi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kimawazo wa kumsaidia mdogo wangu

    Habari zenu wakuu, Nina mdogo wangu alihitimu Form 6 mwaka 2017 na kupata division two na kuchaguliwa kwenda UDSM kusomea BED akaripoti kama mwezi hivi zikatokea nafasi za kwenda JKT akaacha chuo na kwenda huko na bahati mbaya zaidi hakuhairisha masomo kisheria aliondoka tu kienyeji. Sasa wiki...
  12. Francis12

    JamiiForums Tanzania Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia. Malisa GJ Mosi, Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge...
  13. Sodoku

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    " Mimi ni member wa Jamiiforums kwa kipindi kirefu kidogo. Nimekuwa nikishirikiana na kushirikishana nanyi mambo mbalimbali ya maisha na pia ya burudani. Nimewaza kwa muda mrefu sana kabla sijaamua kuandika thread hii. Nlikuwa nmeajiriwa na Kampuni moja ya Mambo ya IT na usafirishaji pia toka...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Habari ndugu. Naomba kupata elimu ya hawa DSE pamoja na namna ya kutumia hiyo application yao kununua hisa. Ahsanteni.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
  16. Kategele

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Ajira mpya za ualimu

    Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii. Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu. Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
  17. Ian_

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani mambo ya sitemap

    Habarizenu wana Jf matumaini yangu muwazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye topic . Hivi karibuni nime 'create' blog yangu ya extension ya .blogspot ,baada ya kupitia mchakato wa kutosha hatimaye ilifika sehemu ya ku submit url for indexing and crawling , nime google vyakutosha lakini...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Gari langu limekua na tatizo la kuzima wakati naendesha

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za pekee kwa wanajukwa hili kwa kuwa nimejifunza mengi Naombeni msaada hapa gari yangu ni spacio new model 1zz imekuwa na tatizo la kuzima nikiwa naendesha haswa nikiwa naendesha sehemu ambayo situmii/sikanyagi mafuta huzima na nikijaribu kuwasha inagoma...
  19. Mama Nehemiah

    JamiiForums Tanzania Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    Habari Wakuu. Nahitaji tofali 4,800 kwa ajili ya kuweka fence ya ukuta wa nyumba, ili kupunguza gharama kidogo nimefikiria kukodisha mtu wa kufyatua kwenye site yangu. Sasa naomba anayefahamu anijuze; 1) Zitahitajika cement mifuko mingapi ili kutoa tofali 4,800 2) Mchanga kiasi gani? 3)...
  20. mulumbu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

    Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu. Asante
Back
Top Bottom