Ni jinsi gani ya kumsaidia binti aliyeolewa akiwa na umri wa miaka 15?

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
833
1,000
Habari zenu waungwana,

Kuna binti kaniomba msaada ila nashindwa kwa sababu ya umbali.

Tatizo lake ana umri wa miaka kumi na tano ila ameolewa kwa nguvu sababu wazazi wake wametangulia mbele za haki, namaanisha wamekufa wote -- baba na mama yake. Aliyekuwa anaishi naye ni shangazi yake ndiye ambaye ameozesha kwa nguvu.

Sasa ananiomba msaada ila yupo mbali amesema yupo Mkundi. Je, tunamsadiaje mume ana umri wa miaka 37 Mwanamke miaka 15 nachotaka mnipe ushauri ili tumsaidie kisheria au apate msaada.
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,395
2,000
Kwamba hataki ndoa, kwamba ni mwanafunzi, au asaidiwe nini,

Sasa wewe unaonesha nia eti eeh.

Natamani kila mzazi awakuze watoto wake. Hakuna kitu kibaya kuliko u yatima.
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,734
2,000
Habari zenu waungwana,

Kuna binti kaniomba msaada ila nashindwa kwa sababu ya umbali.

Tatizo lake ana umri wa miaka kumi na tano ila ameolewa kwa nguvu sababu wazazi wake wametangulia mbele za haki, namaanisha wamekufa wote -- baba na mama yake. Aliyekuwa anaishi naye ni shangazi yake ndiye ambaye ameozesha kwa nguvu.

Sasa ananiomba msaada ila yupo mbali amesema yupo Mkundi. Je, tunamsadiaje mume ana umri wa miaka 37 Mwanamke miaka 15 nachotaka mnipe ushauri ili tumsaidie kisheria au apate msaada.
Kwanza huyo Muoaji akapimwe Akili upesi lakini huyo Shangazi yake kama yupo akamatwe na itapendeza zaidi akianza Maisha yake mapya Prison.
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,859
2,000
Hakuna cha kuokoa hapo,kama utamu wa kugegedana ameshaonja.
Shule hawezi soma kwa kuwaza kugegedana.
Nadhani aachwe aendelee na maisha yake.
As long as haumwi wala hajaharibiwa sehemu za siri au kizazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom