maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nimesoma maoni ya Chadema kuhusu miswada mitatu; Je, huu uchambuzi umefanywa na wasomi wa Tanzania au wa Havard University?

    Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki? Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika...
  2. R

    PreGE2025 Askofu Shoo: Maoni ya wananchi yatiliwe maanani, yaheshimiwe na yatekelezwe

    Salaam, Shalom. Askofu Shoo ametoa kauli iliyojaa HEKIMA na BUSARA, akitoa maoni Kwa niaba ya CCT, amesisitiza kuwa maoni ya wananchi yatolewayo kuhusu namna Gani uchaguzi huru na HAKI ufanyike, yaheshimiwe, yatiliwe maanani na yatekelezwe. Amesema pia kuwa Si vyema mchakato huo ukatawaliwa na...
  3. kajamaa kadogo

    Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo Mada kwa ajili ya wanaume
  4. K

    Kamati ya Bunge mmesikia maoni ya wananchi na taasisi mbalimbali tunawaomba mtende haki

    Watu mbalimbali, Taasisi mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu miswada mitatu iliyosomwa Bungeni Novemba, 2023 sasa tunawaomba mtende haki na yale maoni yaliyotolewa yatiliwe maanai. Watanzania ni waelewa na msije mkadanganyika na kuyaacha maoni yao naomba muyazingatie kwa manufaa ya nchi yetu.
  5. Erythrocyte

    PreGE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

    Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi . Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
  6. Bull Bucka

    PreGE2025 Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

    JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
  7. P

    Soma bila kupita , Kisha toa Maoni yako

    Moja ya jambo serikali inatakiwa kutake kwa umakini sana ni eneo la mahusiano, naona kuwa serikali inatakiwa kuanzisha somo la mahusiano kuanzia primary hadi university level. Naweza Sema mahusiano ni Kila kitu, vijana wengi wanapoteza dira ya maisha sababu hasa ukitazama ni eneo mahusiano...
  8. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Maoni yangu kwenye Mkutano wa Vyama vya Siasa kuhusu Muswada wa Sheria Mpya ya Uchaguzi. Muswada sio batilifu, ni Muswada batili

    Wanabodi, Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao. Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki. Rais Samia alipounda Kikosi...
  9. Kipenzi Changu

    Kuwa makini na maoni ya wajumbe JF, changanya na zako

    Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi. Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho...
  10. DR Mambo Jambo

    Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  11. BARD AI

    Bunge kuanza kupokea maoni kuhusu miswada sheria za uchaguzi

    Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
  12. BAKIIF Islamic

    Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
  13. Action and Reaction

    Maoni yangu: Chama ndiye anayestahili kucheza namba 10 na sio Ntibanzonkiza!

    Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only! Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa...
  14. Candela

    Yapi maoni yako juu ya wimbi la dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume? Wanaotumia zinawasaidia?

    Kama uko online najua hujambo, wagonjwa wako ICU simu zao zimezimwa. Kuna kasumba ya wanaume kuambiwa vibamia suala ambalo limepelekea kuibuka kwa wingi kwa watu wanaosema wanatibu tatizo hilo. Hivi juzi niliijiwa na jamaa yangu anasema ana rafiki yake anamsumbua amuelekeze dawa ya kukuza...
  15. S

    Maoni ya Fundi Samico kuhusu ukamataji wa makahaba kiufundi; Tujifunze pamoja

    Heshima kwenu ndugu zangu! Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi! Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
  16. Erythrocyte

    Hebu linganisha haya mambo halafu toa maoni yako

    Hivi ndivyo wanavyotofautiana Wakenya na Watanzania Angalia hawa Halafu angalia na hawa
  17. JamiiCheck

    Julia loffe: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma (Wananchi)

    Akiwa anatoa hija yake kuhusu athari za habari potofu Mwandishi w Urusi Julia Loffe anaeleza: Habari Potofu inaweza kugeuza Maoni ya Umma na kusababisha uungwaji mkono wa Sera na Viongozi wa Kisiasa wasiofaa. --- Habari Potofu huathiri Michakato ya kupata Viongozi wa Kisiasa, hushusha Imani ya...
  18. Kididimo

    Makabila yenye JUJU KALI, ndo yanatoa viongozi na wateuliwa wengi nchini. Nipe maoni yako

    Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
  19. Vincenzo Jr

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  20. J

    Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
Back
Top Bottom