Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,413
- 11,065
Shalom,
Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo.
1. Umakini kwa dakika zote
2. Kucheza kwa speed dakika zote
3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly.
4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote.
5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni kusaidia mabeki wao dhidi ya hatari.
6. Kutokabia macho
7. Ikilazimu faulo ifanywe mapema kabla ya eneo la hatari.
8. Kutokumtegemea refa au kibendera kwenye offsides.
9. Kupunguza makosa yasiyo ya lazima.
10. Njaa, kiu ya ushindi na kupigania Jezi na brand ya Simba SC.
11. Kutoruhusu open space za mashuti na Kona nyingi pamoja na faulo nje ya 18.
12. Matumizi ya kila nafasi ya kufunga inipopatikana.
13. Utimamu wa mwili, kujitambua nini Cha kufanya with or without the ball, speed na kiu ya ushindi ndio nguvu leo.
14. Quick anticipation, space marking, dribbling past two or three will be key in final third unlocking low block and slow game by opponents.
Ni hayo tu